Uhuru wa kweli hautaletwa na wasakatonge utaletwa na watu waliotoa nafsi zao kama Mdude na Mwabukusi

Duc in altum

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
1,781
Reaction score
3,591
Uhuru wa kweli utaletwa na watu ambao wako tayari kupoteza kilaKitu isipokuwa uhuru.

Mwenyekiti wa chadema na muunga mkono kuhusu maandamano lakini nimekumbuka jinsi alivyo kejelinharakati za mdude na mwabukusi kuhusu kujiunga na maandamano yao.

Kwa kuwa uchaguzi ni maslahi ya moja kwa moja kwa Mbowe ameona aitishe maandamano licha ya msimamo wa awali bila katiba mpya hakuna uchaguzi.
 
Mbowe ni CCM anatekeleza ilani ya chama chake. Mwacheni mwamba.

Linapokuja suala la kutekeleza ilani ya CCM Mbowe ni asset muhimu. Chacha Wangwe na Tundu Lissu.........
 
Uhuru wa kweli utaletwa na watu ambao wako tayari kupoteza kila
Kitu isipokuwa uhuru.
Mwenyekiti wa chadema na muunga mkono kuhusu maandamano
lakini nimekumbuka jinsi alivyo kejelinharakati za mdude na mwabukusi
kuhusu kujiunga na maandamano yao.
Kwa kuwa uchaguzi ni maslahi ya moja kwa moja kwa mbowe ameona
aitishe maandamano licha ya msimamo wa awali bila katiba
mpya hakuna uchaguzi.
Kama tukikubali kuvaa roho ngumu za kina mwabusi na mdude na mwandidi tukubali
Kupoteza kila kitu basi tumepata uhuru wetu.
 
Mbowe ni CCM anatekeleza ilani ya chama chake. Mwacheni mwamba.
Hilo sikupingi, maana alisema CCM ni kama
demu na maridhiano yao ya siri aliyoambiwa toka
awali hayatafika popote zaidi ya kupoteza mda ili
akishituka uchaguzi huu hapa
 
Mbowe ni CCM anatekeleza ilani ya chama chake. Mwacheni mwamba.

Linapokuja suala la kutekeleza ilani ya CCM Mbowe ni asset muhimu. Chacha Wangwe na Tundu Lissu.........
Watu wote waliofanya mabadiliko walikubali kutoa kila kitu chaonjata maisha ili
Kuanzia Nelson Mandela, Mahatma Gandhi, Malcolm X, Martin Luther king, Che Guevara,
Fidel Castro, Patrice Lumumba, Steven Biko.
They never bargain or compromise for their freedom
 
Mbowe ataandamana yeye na wala ruzuku wenzake ndani ya chama.
 
Uhuru wa kweli utaletwa na watu ambao wako tayari kupoteza kila
Kitu isipokuwa uhuru.
Mwenyekiti wa chadema na muunga mkono kuhusu maandamano
lakini nimekumbuka jinsi alivyo kejelinharakati za mdude na mwabukusi
kuhusu kujiunga na maandamano yao.
Kwa kuwa uchaguzi ni maslahi ya moja kwa moja kwa mbowe ameona
aitishe maandamano licha ya msimamo wa awali bila katiba
mpya hakuna uchaguzi.
Kumtenganisha mh Mbowe na Mdude ni sawa na kutenganisha mawingu na mvua.
 
Watu wote waliofanya mabadiliko walikubali kutoa kila kitu chaonjata maisha ili
Kuanzia Nelson Mandela, Mahatma Gandhi, Malcolm X, Martin Luther king, Che Guevara,
Fidel Castro, Patrice Lumumba, Steven Biko.
They never bargain or compromise for their freedom
Comment yenye akili kutoka kwa mtu mwenye akili
 
Hilo sikupingi, maana alisema CCM ni kama
demu na maridhiano yao ya siri aliyoambiwa toka
awali hayatafika popote zaidi ya kupoteza mda ili
akishituka uchaguzi huu hapa
Tutaandamana tu na tupo tayari kuandamana
 
hao hamna kitu kabisaaaaa
Rudi nyuma kawaangalie vizuri
 
hii nchi inahitaji zaidi ya maandamano maana kuna watu wameshajimilikisha.
 
Watanzania wenye akili wapo tayari kuandamana
Sema walamba asali ndio wataandamana
Ccm kuendelea kubaki madarakani ni kwa sababu ya hizi saccos zinazojiita vyama vya upinzani
Wakati havina upinzani wowote za ya kujali maslahi yao.
 
Hivi vyama vyanupinzani vya Tanzania ni uongo
Mtupu bora kina malema kwa madina
 
Back
Top Bottom