Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Kama tukikubali kuvaa roho ngumu za kina mwabusi na mdude na mwandidi tukubaliUhuru wa kweli utaletwa na watu ambao wako tayari kupoteza kila
Kitu isipokuwa uhuru.
Mwenyekiti wa chadema na muunga mkono kuhusu maandamano
lakini nimekumbuka jinsi alivyo kejelinharakati za mdude na mwabukusi
kuhusu kujiunga na maandamano yao.
Kwa kuwa uchaguzi ni maslahi ya moja kwa moja kwa mbowe ameona
aitishe maandamano licha ya msimamo wa awali bila katiba
mpya hakuna uchaguzi.
Hilo sikupingi, maana alisema CCM ni kamaMbowe ni CCM anatekeleza ilani ya chama chake. Mwacheni mwamba.
Watu wote waliofanya mabadiliko walikubali kutoa kila kitu chaonjata maisha iliMbowe ni CCM anatekeleza ilani ya chama chake. Mwacheni mwamba.
Linapokuja suala la kutekeleza ilani ya CCM Mbowe ni asset muhimu. Chacha Wangwe na Tundu Lissu.........
Kumtenganisha mh Mbowe na Mdude ni sawa na kutenganisha mawingu na mvua.Uhuru wa kweli utaletwa na watu ambao wako tayari kupoteza kila
Kitu isipokuwa uhuru.
Mwenyekiti wa chadema na muunga mkono kuhusu maandamano
lakini nimekumbuka jinsi alivyo kejelinharakati za mdude na mwabukusi
kuhusu kujiunga na maandamano yao.
Kwa kuwa uchaguzi ni maslahi ya moja kwa moja kwa mbowe ameona
aitishe maandamano licha ya msimamo wa awali bila katiba
mpya hakuna uchaguzi.
Watanzania wenye akili wapo tayari kuandamanaMbowe ataandamana yeye na wala ruzuku wenzake ndani ya chama.
Wewe kama ni kula kulala huwezi kuandamanaMbowe ataandamana yeye na wala ruzuku wenzake ndani ya chama.
Comment yenye akili kutoka kwa mtu mwenye akiliWatu wote waliofanya mabadiliko walikubali kutoa kila kitu chaonjata maisha ili
Kuanzia Nelson Mandela, Mahatma Gandhi, Malcolm X, Martin Luther king, Che Guevara,
Fidel Castro, Patrice Lumumba, Steven Biko.
They never bargain or compromise for their freedom
Tutaandamana tu na tupo tayari kuandamanaHilo sikupingi, maana alisema CCM ni kama
demu na maridhiano yao ya siri aliyoambiwa toka
awali hayatafika popote zaidi ya kupoteza mda ili
akishituka uchaguzi huu hapa
Akili zako mwenyewe zinakudanganya ni ujinga wa hali ya juu kabisaMbowe ni CCM anatekeleza ilani ya chama chake. Mwacheni mwamba.
Linapokuja suala la kutekeleza ilani ya CCM Mbowe ni asset muhimu. Chacha Wangwe na Tundu Lissu.........
Sema walamba asali ndio wataandamanaWatanzania wenye akili wapo tayari kuandamana
Mbowe ni mpinzani maslahiMbowe ataandamana yeye na wala ruzuku wenzake ndani ya chama.
Hivi vyama vyanupinzani vya Tanzania ni uongoSema walamba asali ndio wataandamana
Ccm kuendelea kubaki madarakani ni kwa sababu ya hizi saccos zinazojiita vyama vya upinzani
Wakati havina upinzani wowote za ya kujali maslahi yao.
Hii nchi inahitani uhuru kamili, uhuru uliopo ni kwa mwenyekitihii nchi inahitaji zaidi ya maandamano maana kuna watu wameshajimilikisha.
Bora hao kuliko zito na mbowe na lipumbahao hamna kitu kabisaaaaa
Rudi nyuma kawaangalie vizuri