Uhuru wa Tanzania Bara?

Uhuru wa Tanzania Bara?

upendodaima

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
4,078
Reaction score
4,504
Ningependa kujua Tanzania Bara imepata huo uhuru toka kwa nani na imeupata lini?
Tafakari kabla ya kujibu.
 
Tanzania haikupata Uhuru ila Tanzania muangano wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar mnamo mwaka 1964
 
ni jambo la kufikiri kidogo tu.labda jiulize nyasa land iliyopata uhuru iko wapi?? tutakuwa waajabu kuanza kuargue juu ya jina.kwangu sioni shida yake.l

kwa swali lako Tanzania bara ilipata uhuru 1961 mwezi December.jina halijaiba hata robo ya mali ya Tanzania ya awali bali utawala.fikiri vizuri nawe Tanganyika iliyopata uhuru ilitoka wapi??
 
Back
Top Bottom