Huwa nazimia naamka kisha tena hata zaidi ya mara 70 kwa siku nikiwa naona nyota nyota tu wabongo tunapopumbazwa na ujinga uitwao "democracy" toka Ulaya magharibi nakati ni usanii mtupu tu wa kwenye makaratasi lakini kiuhalisia wanakupangia na kukuamuru ufate watakavyo wakati wowote.Vita vya Russia na Ukraine vimenifumbua macho yangu. Vyombo vya habari vya nchi za Magharibi ni vyombo ambavyo havitoi habari kuhusu kile kinachoendelea kwenye vita, havisimami katikati, vimeegemea upande. Iko siku vyombo hivi vitatumika kurudisha ukoloni Afrika.
Je, vyombo vya habari vya magharibi (BBC, DW, France, VOA, Facebook, You tube, nk) ni mfano wa kuigwa wa uhuru wa habari nchini?
Watu wetu wanaangamia kwa kukosa maarifa na exposure. Yaani unapomuona mswahili anaandamana akidai demokrasia kama ya magharibi unamhurumia sana. Huko Magharibi hakuna demokrasia hata kidogo. Media zao zote zinawatumia watu wa Magharibi TU, ni vyombo vya propaganda.Huwa nazimia naamka kisha tena hata zaidi ya mara 70 kwa siku nikiwa naona nyota nyota tu wabongo tunapopumbazwa na ujinga uitwao "democracy" toka Ulaya magharibi nakati ni usanii mtupu tu wa kwenye makaratasi lakini kiuhalisia wanakupangia na kukuamuru ufate watakavyo wakati wowote.
Haya wapumbavu wa unazi toka USA na EU popote mlipo jipigeni makofi vifuani penu mara tatu mkisema kwa sauti kuuuubwa kuwa "sisi ni wapumbavu kupindukia" [emoji847]