Uhuru wants China to fund half of SGR for free

1. Takwimu zenyewe zilizotumika kutafuta loan kwa Wachina zinaanzia short term ya 2023. So hapo tayari inapeana knock out kwa hizo theory zenu zote za kwamba sijui mchina kagundua SGR haina faida .....etc... manake kwa document hio hio inaonyesha SGR phase 1 ilikua inaanza kufanya kazi 2018 lakini kufika Malaba itafika huko between 2021-2022. loan ya SGR yenyewe inafaa kuanza kulipwa from 2021



Hii section hapa inaonyesha short term projection ya SGR kuanzia 2023 is only 1pproximatrely 13 Million tonnes! Kulingana na actual cargo inayobebwa kwa SGR, ukichukua historical data ya tangu January hadi August na ufanye projection, inaonyesha by 2019, SGR Kenya itakua inabeba 8 million tonnes p.a... So unataka kuniambia kutoka 2019, 2020,2021,2022 hadi 2023, bado itakua hatujafikisha a mere 13 Million tonnes?????
 
Do you think China cares about Kenya pullung out?? All they would be wanting is there loan to be paid and once you fail they take the all Mombasa port.
Why do you like speculating things without bringing facts.??You are talking as if you work for Kenyan railway while you are in Kibera jobless.
So you want to tell us that Uhuru was asking for a grant to out smart the Chinese😂😂 Can the Kenyan government out smart the Chinese government by asking for a grant??😂😂 Who is fooling who?? What do you have that you can sell to the Chinese. Kenya is not even among the top ten countries in Africa which China has made a foreign direct investment.
Next fool those Kenyans in Kibera. 😂😂 We got a grant from China but not you Kenyans. 😂😂 Who is fooling who??
 
Hapo alikua Jk ambaye anashabihiana kabisa na UK.

Kwa akili yako timamu fedha ya Wachina walipa kodi halali ije iwajengee reli for free basi milembe unahusika 100%.
 
Reactions: Oii
Kwanza mimi bado PPP naikataa kama Magufuli. Hata kama watajenga hiyo bandari ya bagamoyo sahau kuwa itakuja kuipita bandari ya Dar. Magufuli is not a fool to accept that.
 
Hapo alikua Jk ambaye anashabihiana kabisa na UK.

Kwa akili yako timamu fedha ya Wachina walipa kodi halali ije iwajengee reli for free basi milembe unahusika 100%.
Amekuja kutetea thread yake kwa kuipinga hoja yake kuwa Uhuru wanted to out smart the Chinese😂😂 Hivi aliambatana na Uhuru huko China??.😂😂 Wanahisi hii ni China ya Tazara railway😂😂
 
kumbe sometimes ukiondoa ile mentality yako ya kijobless huwa una talk sense. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuja pole pole, jamaa wa emoji nyingi hua tunawaelewa mnamajungu mengi sana, pole sana, hope you feel better!

China cares about Kenya pulling out very much, enda ukaangalie map ya one belt one road initiative, Kenya is part of it. Kenya is now saying that if you (China) have put us in your route map to global dominance then you have to at least fund some of those projects for free...you know.....put your money where your mouth is!





And unlike you people, I do not speculate based on what I think but on the things i’ve read....


This is what the president said

The SGR sits very well on the Belt and Road Initiative. It commences the envisaged land bridge between the Indian and Atlantic Oceans, opening up the interior for trade and investment across seven countries, and opening China to Central Africa, and further on, beyond the Atlantic Ocean,” the President said.
If China provides a Sh190 billion grant, Beijing will not demand pay could still squeeze in a deal to ensure the Chinese firms benefit from the project.
But President Kenyatta told his host that the construction of the railroad should have, as a by-product, improved human skills and training.Why Kenya wants China to pay half the cost of SGR extension



——-
The Kenyan SGR from Msa-Nairobi has been held as a success story in China that the one belt one road project is working, it was even used as an example in the recently concluded meeting in China....If Kenya were to pull out right now, the whole of China’s one belt one road project worth more than $1 Trillion will be in jeorpardy as other countries that are part of the OBOR project will also be hesitant to keep going... there for Kenya is using this as leverage to negotiate for a better deal
 
Mnafikia hapo kwa mahesabu yapi?? Kwa kutumia hiyo formular hapo juu??😂😂😂 Pamoja na hizo 8million mbona SGR inatengeneza loss?😂😂 Hapo mchina ndipo anashindwa kuwaelewa. Kazi ipo😂😂
 
Mnafikia hapo kwa mahesabu yapi?? Kwa kutumia hiyo formular hapo juu??😂😂😂 Pamoja na hizo 8million mbona SGR inatengeneza loss?😂😂 Hapo mchina ndipo anashindwa kuwaelewa. Kazi ipo😂😂
8 million ni 2019 not 2018. Kulingana na takwimu tena, loss inatarajiwa kwa miaka 3-5 ya kwanza, ndio maana hapo kwa hizo takwimu hesabu zinaanzia 2023 na wala sio 2018. Naomi unajaribu kujifurahisha lakini wapi
 
I think its after knowing chines people with their small eyes benefited more from the previous contracts when compared to Tanzania
 
One belt one road project ni swala la muda mrefu even Tanzania is part of that lakini hutusikii tukipiga kelele. China can not fund a project which they see will turn up to be a white elephant. In fact China was not part of the SGR deal in East Africa. It was brought out by the so called COW. China would have funded the all project for free if it would have been in there plan (interest)of one belt one road project .
Through that project they will construct there old routes only(roads and harbours) for free. Commonly know as silk roads. No railway construction in that Chinese plan.
 
8 million ni 2019 not 2018. Kulingana na takwimu tena, loss inatarajiwa kwa miaka 3-5 ya kwanza, ndio maana hapo kwa hizo takwimu hesabu zinaanzia 2023 na wala sio 2018. Naomi unajaribu kujifurahisha lakini wapi
Usinidanganye kama mtoto mdogo.😂😂😂 My self najua kuandika business plan. Kwenye hiyo document yako nionyeshe sehemu iliyoandikwa loss in 3-5 years.😂😂 Another KQ loading
 
I think its after knowing chines people with their small eyes benefited more from the previous contracts when compared to Tanzania
it has nothing to do with tanzania....
 
8 million ni 2019 not 2018. Kulingana na takwimu tena, loss inatarajiwa kwa miaka 3-5 ya kwanza, ndio maana hapo kwa hizo takwimu hesabu zinaanzia 2023 na wala sio 2018. Naomi unajaribu kujifurahisha lakini wapi
Sasa wewe unaleta Takwimu ambazo Mchina amesema ni Kinyesi. Uhuru has failed to secure funding for the remaining phases..Its back to the drawing board, Total new feasibilty from mombasa to kisumu before any single cent comes out of the china man
 
Just upload the whole damn document, giving us pieces of mathematical probability doesn't cut it. It may not even be from Kenya feasibility study. You know how to upload a document right?
 
Mkuu Kafrican,
Kwa ufupi unataka kusema kua KE inataka ku-blackmail one road one belt project, hivi unadhani PRC hawana alternative route?
It’s all about pushing the right buttons just enough.. but not too much.
The land bridge that Kenyatta was talking about........ “ It commences the envisaged land bridge between the Indian and Atlantic Oceans, opening up the interior for trade and investment across seven countries, and opening China to Central Africa, and further on, beyond the Atlantic Ocean,” the President said.


Is a plan by China to build/extend the SGR eigther from Msa or from Lamu all the way to Cameroon port so that cargo from the Americas can be transported by rail then packed into Asian bound ships and vice verser. Ships won’t have to travel around Africa in weeks , cargo will go through Africa in a matter of days.

The grate equatorial land bridge


Of course kuna alternatives, but now that the Chinese have funded phase 1 and 2A, it will be kind of difficult for them to pick another alternative and start drawing another route all over again. It’s much easier for them to just pay a few billions (relatively speaking)... China pia imebenifit kwa kupewa contract kujenga project nyingi sana hapa Kenya ambazo total cost ni zaidi ya hio $190B tunayowaulizia.... China want to have its own ‘sues canal’ that it owns and has control over just like the Americans and the brits....they also have something to loose hata Kama it’s just small, it will be kind of embarrassing for China if on their quest to build their own canal they start by having to find another route. this is what Kenya is gambling that China will have to fold .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…