Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
- Thread starter
- #41
1. Takwimu zenyewe zilizotumika kutafuta loan kwa Wachina zinaanzia short term ya 2023. So hapo tayari inapeana knock out kwa hizo theory zenu zote za kwamba sijui mchina kagundua SGR haina faida .....etc... manake kwa document hio hio inaonyesha SGR phase 1 ilikua inaanza kufanya kazi 2018 lakini kufika Malaba itafika huko between 2021-2022. loan ya SGR yenyewe inafaa kuanza kulipwa from 2021Wewe wasema watu wanaropoka, wakati we mwenyewe unaspeculate. Leta hiyo ripoti na takwimu halafu ujenge hoja vizuri.
Hata hivyo usiumie sana, kupoteza kwenye negotiation hua inatokea wakati mwingine. Just own it and move on. Tanzanian officials unlike Uhuru and his genge are very serious when it comes to negotiation ( especially under Magufuli).
Uhuru is not serious, he likes being a president. He doesn't care about the responsibilities, he just like the title. He thinks he was born to be a president.
Hii section hapa inaonyesha short term projection ya SGR kuanzia 2023 is only 1pproximatrely 13 Million tonnes! Kulingana na actual cargo inayobebwa kwa SGR, ukichukua historical data ya tangu January hadi August na ufanye projection, inaonyesha by 2019, SGR Kenya itakua inabeba 8 million tonnes p.a... So unataka kuniambia kutoka 2019, 2020,2021,2022 hadi 2023, bado itakua hatujafikisha a mere 13 Million tonnes?????