Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mjani mbona watu wanapiga hata kule white house mojahv huyu jamaa ameacha kuvuta yale majani?
Na wa huku kwetu tupe wasifu wakeHuyo jamaa Uhuru Kenya hajawahi kuajiriwa wala kulipa kodi mahali popote pale, wala hajawahi kutuma maombi kazi maishani mwake, halafu unamkabidhi Ikulu ? Ndiyo maana anakula good time tu!
Kwanza Kenya ni kama shamba lao tu, huoni hata jina la nchi ya Kenya ni jina la ukoo wa Uhuru? Hiyo nchi ni mali yao familia ya Uhuru Kenya!
Exactly. Actually, kama alionja kidogo, ilimsaidia kusema ukweli bila kuwaonea aibuWhat is wrong sioni kama kuna tatizo lolote...just focus on subject matter....
Huyo jamaa Uhuru Kenya hajawahi kuajiriwa wala kulipa kodi mahali popote pale, wala hajawahi kutuma maombi kazi maishani mwake, halafu unamkabidhi Ikulu ? Ndiyo maana anakula good time tu!
Kwanza Kenya ni kama shamba lao tu, huoni hata jina la nchi ya Kenya ni jina la ukoo wa Uhuru? Hiyo nchi ni mali yao familia ya Uhuru Kenya!