Uhuru's cabinet :more muslims than ever?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Nimefuatilia kidogo Cabinet mpya ya Uhuru nikaona kama kuna more muslims..
than ever katika historia ya Kenya?..au not?
Halafu si more muslims walimpigia kura Odinga?
wajuzi wa siasa za Kenya...nini hii maana yake?

When-the-Muslim-Scholars-Called-on-Jubilee.jpg
 
Nimefuatilia kidogo Cabinet mpya ya Uhuru nikaona kama kuna more muslims..
than ever katika historia ya Kenya?..au not?
Halafu si more muslims walimpigia kura Odinga?
wajuzi wa siasa za Kenya...nini hii maana yake?
Afadhali Mkuu umekuja Jukwa LA Siasa hapa TZ lilipooza Kiaina!
 
Nimefuatilia kidogo Cabinet mpya ya Uhuru nikaona kama kuna more muslims..
than ever katika historia ya Kenya?..au not?
Halafu si more muslims walimpigia kura Odinga?
wajuzi wa siasa za Kenya...nini hii maana yake?

maana yake unataka kufitinisha wote ni wakenya wameenda pale kwa kufuata katiba sio kwenda kusalisha usilite mada hazina mipango uchochezi tu
 
The Boss nilikua na wasi wasi na zile pishori zinazookotwa pale coco, kitambo sana mkuu
 
Nimefuatilia kidogo Cabinet mpya ya Uhuru nikaona kama kuna more muslims..
than ever katika historia ya Kenya?..au not?
Halafu si more muslims walimpigia kura Odinga?
wajuzi wa siasa za Kenya...nini hii maana yake?
Achana na Ujinga wewe. Chuki za Ukabila na Udini zimekujaa. Hii hoja yako ya kipumbavu sana. Kwani umeambiwa wamechaguliwa na Rais kwenda kuongoza swala ama kusilimisha watu? Wangekuwa Wakristo ndo wengi ungesemaje? Sh*t brain!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hivi waislam wataacha lini ujinga yaani wakiona tu majina wanafurahi
 
Back
Top Bottom