Uhuru's cabinet :more muslims than ever?

Uhuru's cabinet :more muslims than ever?

Ameamua kuwapoza watu wa Pwani ya Kenya ambao walikuwa na niya ya kujitenga. Sasa watajiona na wao ni sehemu ya serikali ya kenya hivyo vuguvugu la kudai uhuru wa pwani litakwisha
 
Mada ipi hii Watanzania mumetuletea, ulihesabu vipi kujua ni waislamu, ama uliangalia majina ya kiarabu, hivi unajua kuna waislamu wenye majina ya Kiafrika Kibantu.
 
Back
Top Bottom