Wanaoshabikia Jaluo hawawajui vizuri!
Hawa jamaa fitina ndo zao. Ila Kenya ukabila ndo unaowamaliza. Hapo agenda ni Mkikuyu asiingie Ikulu tu wala hakuna kitu kingine hapo. Ila Jaluo kwa fitina nawakubali, kuna shirika nilifanya nalo kazi lina ofisi zake Kenya na Tz. Mjaluo alipochukua ukuu wa ofisi alihakikisha makabila mengine yote yamekuwa undermined to the maximum mpaka wakawa wananajitoa wenyewe. Sasa hivi vyeo vyote wamekamata wenyewe tu.
Nina mashaka sana na uongozi wa Jaluo kama atakamata nchi. Ila kwangu mgombea bora kuliko wote ni Uhuruto team period!!!