UHURUTO 2013 Campaign Images.

UHURUTO 2013 Campaign Images.

Ntafurahi sana sana uhuru akishinda urais maana anaonekana yuko determined sana...
 
Wanaoshabikia Jaluo hawawajui vizuri!

Hawa jamaa fitina ndo zao. Ila Kenya ukabila ndo unaowamaliza. Hapo agenda ni Mkikuyu asiingie Ikulu tu wala hakuna kitu kingine hapo. Ila Jaluo kwa fitina nawakubali, kuna shirika nilifanya nalo kazi lina ofisi zake Kenya na Tz. Mjaluo alipochukua ukuu wa ofisi alihakikisha makabila mengine yote yamekuwa undermined to the maximum mpaka wakawa wananajitoa wenyewe. Sasa hivi vyeo vyote wamekamata wenyewe tu.

Nina mashaka sana na uongozi wa Jaluo kama atakamata nchi. Ila kwangu mgombea bora kuliko wote ni Uhuruto team period!!!
 
541444_589696494392225_785115383_n.jpg


602966_589696447725563_452240570_n.jpg


557941_589696007725607_1835051810_n.jpg



734037_589696454392229_1177231653_n.jpg


482563_589696751058866_1666424103_n.jpg


208573_589696591058882_595716402_n.jpg

553156_589696734392201_179141445_n.jpg
 
the last picture says 1000 words! if UK akifungua roho haki huyu dada atampatia jinsi alivyoanajivinjari na kushika mikono ya UK!
 
Hongera sana 2013 Kenya wameenda sana kwa Mungu kuliko 2005 ilikuwa kwa shetani-kafara nyingi.
 
Back
Top Bottom