UHURUTO 2013 Campaign Images.

UHURUTO 2013 Campaign Images.

9.jpg

Republican Congress party leader Najib Balala receives the Jubilee coalition blueprint from Matu Andrew at Moi International Sports Centre, Kasarani on February 3, 2012.

10.jpg

Jubilee coalition presidential candidate Uhuru Kenyatta unveils the blueprint at Moi International Sports Centre, Kasarani on February 3, 2013.
 
Eti kusema na kutenda! Empty drums,hao jamaa ni maconvicts.wakenya hawako tayari kuongozwa na fugitive president.kwanza uhuru anasumbuliwa na mapepo chafu.jamaa kwa kunywa viroba na ile sigara kubwa!sizani kama wakenya watadanganyika na hawa ma haramia wanaotaka kwenda kujificha ikulu kwa kuikimbia icc.
 
Jitambulishe Kabila lako kwanza, maanake hapa Kabila ndo linaongea kuliko mtu mwenyewe, Ila kwa kifupi mimi ningekuwa Mkenya Hawa jamaa wangekuwa na Kura yangu,
 
734735_578852348809973_1630287610_n.jpg

Hili bango ina ujumbe mzito. yaani akawa mradi wa wafaransa
 
Back
Top Bottom