Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
- Thread starter
-
- #41
Eti kusema na kutenda! Empty drums,hao jamaa ni maconvicts.wakenya hawako tayari kuongozwa na fugitive president.kwanza uhuru anasumbuliwa na mapepo chafu.jamaa kwa kunywa viroba na ile sigara kubwa!sizani kama wakenya watadanganyika na hawa ma haramia wanaotaka kwenda kujificha ikulu kwa kuikimbia icc.