Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Yaani kuna watu mabwege humu mpaka unashangaa... Unasema walitungwa ujauzito kipindi cha wazazi wao wakiwa wamelewa nini?
Yaani jamaa mmoja bwege anaomba nimpatie kiasi flani cha pesa amtoe demu mmoja humu wa JF out sababu amempenda sana. Namuuliza umewahi mwona? Anajibu ameona tu picha yake kwenye avatar. Huwa akimtizama ana mfeel sana. So anaamini hiyo picha ndivyo alivyo huyo mhusika.
Na anataka nimpatie pesa amtoe out. Huu si ni Ubwegest katika kiwango cha juu sana? Haya hivi itokee kila mtu picha iliyopo kwenye avatar awe yeye... Mimi ntapata demu kweli? Au mtanipendea mkwanja na makarateka ambayo ntakuwa nagonga demu mkali akijichanganya
Mimi silambi lambi lips. Ni gangster hasa... Shauri yako.