Uhusiano awa Avatar/Profile Pictures na sisi wenyewe

Uhusiano awa Avatar/Profile Pictures na sisi wenyewe

Mi nasifiwaga ni HB ila liavatar langu sasa ndo kama hilo.
Ukijichanganya utegemee ukutane na Vishu Mtata unakutana na vishu HB, utababaika sana hapo.

[emoji23][emoji23][emoji23]alafu bro unakuta mdada amevalia uch anapita mbele yako unamsimamisha unamwelekeza
Anachokujibu sasa: we kaka weee komaa [emoji2041]nakupeleka wapi na m_bichwa wako nyoooooo
 
Duuh hii avatar yangu labda atapenda ninavyoachama mdomo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyo picha kwangu ni yangu. Sema nlikuwa kipindi hicho napiga sana maji. Sasa hivi ni hendisamu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] so umeanza uwongo kwa JM
 
Kuna warembo humu na wanajiheshimu sana ,na avatar ni kaweka likitu la ajabu very high degree of zero correlation avatar vs urembo wake.. ni mrembo eti ndiyo mshikaji wangu wa muda mrefu
 
We muache aje akutane na manzi ina kilo 95+ alafu fupi kinyama
 
Weka basi tutege [emoji23][emoji23]
Hahahaha siwezi mkuu, kati ya mitandao niko huru basi ni jf.

Naandika ninachotaka, napata ninachotaka bila wasi.
Siku akinifahamu hata mmoja tu basi chap nabadili id.
Naamini hakuna anaenifahamu humu.
 
Hahahaha siwezi mkuu, kati ya mitandao niko huru basi ni jf.

Naandika ninachotaka, napata ninachotaka bila wasi.
Siku akinifahamu hata mmoja tu basi chap nabadili id.
Naamini hakuna anaenifahamu humu.

[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]make nicheke
 
Kuna vile mtu alivyo(uhalisia), anavyoonekana(unamchukuliaje) ,na anavyotaka kuonekana(Alter Ego)*Avatar..Girl mwembamba atamueka mwenye Chura, bonge atamuweka Chubby..mpemba atamuweka Mwarabu haha ngoja niishie hapa
 
Supermassive black hole, Sagittarius A
It's not a passive track yo, such a daring way
Orion belt filter, that's what we're dealt
Any closer to kilter, and the riot belchs
Close to Andromeda, in the Local Group
Supposed to get bigger, in a local soup
30G light years, not far in the outskirts
You will see a star there outsretched
Sol to be exact, and that's a fact
Third rock from that, that's where I'm at
 
🤣🤣🤣 Yaani unataka kukataa hakuna wazazi ambao walinyanduana wakiwa wamelewa? Akili za watu humu JF nyingine ni za kujua tu kujisaidia ndani.
Hata kama huwezi kusema hivo kwa kukejeli, bora akili ya kujisaidia kuliko hiyo yako hata kujisaidia huwezi.
 
Kuna vile mtu alivyo(uhalisia), anavyoonekana(unamchukuliaje) ,na anavyotaka kuonekana(Alter Ego)*Avatar..Girl mwembamba atamueka mwenye Chura, bonge atamuweka Chubby..mpemba atamuweka Mwarabu haha ngoja niishie hapa
Uhalisia ni tofauti kabisaa😂
 
Back
Top Bottom