Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nasifiwaga ni HB ila liavatar langu sasa ndo kama hilo.
Ukijichanganya utegemee ukutane na Vishu Mtata unakutana na vishu HB, utababaika sana hapo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyo picha kwangu ni yangu. Sema nlikuwa kipindi hicho napiga sana maji. Sasa hivi ni hendisamu
Mwambie akichoka ataachaKuna mtu naye anakuzimikia sana humu ndani.
mbona nina pisi moja kali sana humu...???Itakuwa ndo maana hupati mademu humu JF.
Kama hutaki mambo mengi unaweka avatar isiyo ulimbo kwa dada zetu hawa.Ha ha ha.... Nadhani wamekusoma. Mimi nilivyo kwenye avatar ndo nilivyo.
Kama hutaki mambo mengi unaweka avatar isiyo ulimbo kwa dada zetu hawa.
Ukitaka kuwanasa mbona rahisi sana humu.
Hahahaha siwezi mkuu, kati ya mitandao niko huru basi ni jf.Weka basi tutege [emoji23][emoji23]
Anatumia avatar yakeAnatumia jina au avatar gani?
Hahahaha siwezi mkuu, kati ya mitandao niko huru basi ni jf.
Naandika ninachotaka, napata ninachotaka bila wasi.
Siku akinifahamu hata mmoja tu basi chap nabadili id.
Naamini hakuna anaenifahamu humu.
Hata kama huwezi kusema hivo kwa kukejeli, bora akili ya kujisaidia kuliko hiyo yako hata kujisaidia huwezi.🤣🤣🤣 Yaani unataka kukataa hakuna wazazi ambao walinyanduana wakiwa wamelewa? Akili za watu humu JF nyingine ni za kujua tu kujisaidia ndani.
Uhalisia ni tofauti kabisaa😂Kuna vile mtu alivyo(uhalisia), anavyoonekana(unamchukuliaje) ,na anavyotaka kuonekana(Alter Ego)*Avatar..Girl mwembamba atamueka mwenye Chura, bonge atamuweka Chubby..mpemba atamuweka Mwarabu haha ngoja niishie hapa