Naomba kuuliza eti nikiwa na bachela of science with education
naweza kusoma cozi zingine kam computer science katka leval ya bachela.
Je kama na diploma ya scince wih education pia naruhusiwa kusoma bachela ya computer science??
mawazo yenu ni mchango mkubwa kwangu waungwana.
Mkuu jitahidi kuzingatia suala la uandishi kama msomi.
Yah kama una diploma ya science(major mathematics) unaweza kusoma bachelor ya computer but degree ya ualimu yyt ile huwezi kusoma master ya computer
Nashukul kwa mchango wko, kwhyo naweza kuendelea kua mwalim na huku nasoma bachelor ya cmpt, maana napenda xana fan ya computer ingawa npo kwenye mambo ya education
Nashukul kwa mchango wko, kwhyo naweza kuendelea kua mwalim na huku nasoma bachelor ya cmpt, maana napenda xana fan ya computer ingawa npo kwenye mambo ya education
Wenye degree ya ualimu ambao wamesoma mathematics na Computer Science wanaweza kuwa admitted masters ya Computer Science,angalia admissions za Masters Udsm,huwa wanakwepo wenye degree za ualimu ila masomo yao yakiwa Computer Science na MathematicsYah kama una diploma ya science(major mathematics) unaweza kusoma bachelor ya computer but degree ya ualimu yyt ile huwezi kusoma master ya computer