Uhusiano kati ya education na kozi zingine

slmmfm

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
304
Reaction score
65
Naomba kuuliza eti nikiwa na bachela of science with education
naweza kusoma cozi zingine kam computer science katka leval ya bachela.

Je kama na diploma ya scince wih education pia naruhusiwa kusoma bachela ya computer science??

mawazo yenu ni mchango mkubwa kwangu waungwana.
 
Yah kama una diploma ya science(major mathematics) unaweza kusoma bachelor ya computer but degree ya ualimu yyt ile huwezi kusoma master ya computer
 
Mkuu jitahidi kuzingatia suala la uandishi kama msomi.
 
Yah kama una diploma ya science(major mathematics) unaweza kusoma bachelor ya computer but degree ya ualimu yyt ile huwezi kusoma master ya computer

Nashukul kwa mchango wko, kwhyo naweza kuendelea kua mwalim na huku nasoma bachelor ya cmpt, maana napenda xana fan ya computer ingawa npo kwenye mambo ya education
 
Ofcoz yes!!coz nilisoma name watu watatu ambao wana diploma za ualimu course moja inaitwa information systems management pale ardhi university,sema kutokana na sababu za hapa na pale nikachange fani baadae but muhimu kwenye diploma yako uwe umesoma math na unaijua
 
Nashukul kwa mchango wko, kwhyo naweza kuendelea kua mwalim na huku nasoma bachelor ya cmpt, maana napenda xana fan ya computer ingawa npo kwenye mambo ya education

Lakini mbona kuna bachelor za education ya computer kwann usiapply?kwa haraka haraka kama sikosei udom ipo!
 
Diploma in Science and Allied Technologies, Health and Allied Sciences, and Teaching and Learning Facilitation /FTC with a minimum GPA of 2.7 equivalents to ‘B’ grade and four passes at ‘O’ level

Hivyo ndo vigezo vya udom vp hpo mi c nawza kupata af fm4 nina B ya math na C ya phy na credt zngne
 
Yah kama una diploma ya science(major mathematics) unaweza kusoma bachelor ya computer but degree ya ualimu yyt ile huwezi kusoma master ya computer
Wenye degree ya ualimu ambao wamesoma mathematics na Computer Science wanaweza kuwa admitted masters ya Computer Science,angalia admissions za Masters Udsm,huwa wanakwepo wenye degree za ualimu ila masomo yao yakiwa Computer Science na Mathematics
 
Back
Top Bottom