ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kipaji Ni uwezo yaani watu wanakuwa na maslahi na kile ulichonacho wakati hamu ni mapendeleo ni hisia ama tamaa unayokuwa na shauku nayo juu ya kitu /jambo fulani linalokuvutia.
Ili kukitambua kipaji chako lazima uwe makini kwenye shughuli za kila siku au matendo unayoyatenda Kila siku yapi unahisi huwa unayafanya Kwa ubora wa hali ya juu sana. Yanaleta matokeo standard mara nyingi matokeo yanayotakiwa wakati ni rahisi kuijua interest zako ziko kwenye ishu gani utaona kuna mambo unayafutatilia sana unapenda kujua Habari zake latest na una utambuzi nayo so unaweza ukawa tu na kupenda Habari za siasa na ukatumia muda mwingi kuzisoma aidha JamiiForums ukazijua ila haimaanishi eti una kipaji cha siasa.
Hatua ya kwanza ya kutaka kutumia kipaji chako kutambulika na Dunia ni kuwaelekeza watu wako wa karibu wanandugu, classmate na masela zako ili waku kumbushe kumbushe na kukupa moyo wa kufanya na kukusupport kwenye content yako ila ukija upande wa passion zako kuna option mbili kama ni lifestyle nzuri endelea nazo kuinjoy kama kucheza mziki we cheza usiwaze au waza kidogo namna gani ufanye aidha ucheze sasa kibiashara upate hela au uendelee kucheza mziki mzuri uupendao.
Uzuri wa kipaji haina mbambamba ukiwa nayo mwenyewe unaiona matokeo yake mazuri una advance kila uchwao unazidi kuwa mkali kwenye kitengo chako . Sasa mwisho kabisa hivo vyote vinaenda pamoja ukiwa na kipaji jitahidi pia kutilia mkazo kupenda unachofanya na uzuri pia kipaji ukiingiza kwenye kile ukipendacho basi una perform vizuri tu.utakifanya Kwa muda mrefu ukipendacho je wewe Mpaka sasa Hivi umegundua kipaji chako ni nini?