Kwa kweli haya mambo yapo tena mengi sana na si ya kupuuza. Ikitokea kwa bahat mbaya kitovu kikagusa gobole ya katoto kusolve inabidi mama mtoto akaweke katoto juu yake mithir ya ku-do (sex) mapema sana alfajiri.
Wanawake wanajua mengi sana juu ya tamaduni na jadi zetu Waafrika na wanazipractise vizur hata leo hii ili kuhakikisha mtoto anabaki salama. kwa mfano kuna maada moja humu kuhusu kwenda nje ya ndoa wakat mke ananyonyesha ile kitu si ya kupuuza; kuna watu wengi wengi tu humu walikataa uwepo wa hicho kitu na kutoa ya kwao kuwa huwa wanatoka bila watoto kupata madhara lakin mimi naamin mama mtoto anaweza ona tatizo kutumia dawa kwa kusaidiwa na majiran/marafik bila kumshirkisha mwanaume.