Uhusiano kati ya kundi ya kundi la damu (blood group) na Uchumba/Mimba/Ujauzito/Mtoto

Mkuu me blood group ni B+ na wife pia ni B+ kwahyo apo tutapata watoto wote B+ na aina madhala kwa watoto watakao fata maana now ni mjamzito naomba kueleshwa zaidi Kama na yete iyo sindano inamuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…