Uhusiano kati ya mwanamke kunuka na kuachwa kimapenzi.


Nilishawai kukutana na hiyo harufu hata dudu halisimami tena

Kama kweli ananuka K dah ni hatari kwake maana hiyo harufu inakera sana na alivyo chapombe takakuwa ananuka mdomo na k kwa pamoja
 
Ile harufu ndani yaweza kaa hadi wiki...unaweza puliza uturi hadi pipa moja ndio itoke..all in all tatizo la ile harufu dawa ni maji yaliyosafishiwa mchele...mwenyewe tatizo nitafute nikupe maelekezo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23]
 
La kunuka inategemea sasa....kuna wengine ndio nature yao na wengine ni wanajiendekeza kukaa kwenye mazingira ya uchafu.

Lakini kupata mwanamke msafi kuna raha yake aise, mie nilikua na msichana mmoja alikua msafi sana for three years lakini mwaka wa nne nadhani alianza kujisahau akawa na kale ka harufu flani cha mkojo aise sikuweza kuvumilia na kumwambia sikuweza (ndi nilivyo).....ikabidi kutafuta visa tu and call to an end hayo mahusiano.
 
Yani mpk hpa nilipo comment kurudi nyuma Hamna mwanamke aliye quote hata mmoja teh teh.......... Ila mwanamke Kunuka papuchi nikutojisafisha vizuriii
 
Mpaka mwaka uishe ni kunuka papuchi na ujenzi wa viwanda
 
Zote ulizonena ni point... Nakuunga mkono...

Ifahamike tu.. Watu wanapokuwa kwenye mapenzi, huafanya mambo mengi sana pamoja, yawe mazuri au mabaya... Tatizo linakuja pale mnapotengana kwa ubaya... Kila mmoja anapoamua kuji defend kwa namnya yake ili mwenzake ndiyo aonekane mbaya ndiyo sababu...


Hapo ndiyo mchezo mchafu huuanza wa kusingiziana mambo... Waswahili tunasema... Ukimwaga mboga namwaga ugali... Kitu ambacho siyo kizuri na Mungu hapendi...


Kama mmeachana iwe kwa wema au ubaya...mnakaushiana tu... Na siyo kuchafuana... Hakuna binadamu mkamilifu.. Kila mtu ana madhaifu yake...


Sitetei mtu... Ni maoni yangu tu...



Cc: mahondaw
 

Pamoja na hayo Smart911 mylove suala ya usafi kwa mwanamke haliepukiki
Sisi wanawake buana nature ya maungo yetu ni huko wanakosema chini ni hovyoo hovyo kabisa nikiwa na maana yamekaa vibaya sana.
Sasa it needs extra careful kwakweli otherwise mhmmhmhmhmh sijui

Hasa hawa wenzetu hawa waliojaaliwa makalio wenyewe mnaita misambwada sijui ndo balaa kabisa asipokua msafi ni kasheshee
Mi mwanamke pia najua hizi mambo vizuri mnooo

Sasa when it comes to yalee mambo yetu yale buana ukute mazingira Safi kabisa hata wewe mwenyewe you feel it ila sasa ikiwa kinyume cha hapo sasa mi simooo


Smart911 wangu mimi iko Penda sana veve
 
You are right mahondaw wangu... Ila kwa upande wangu sioni kama ni sababu ya kumuacha mwanamke... Si anaelekezwa tu achukie afurahi lakini at least i have done my part...

Thanks God you are super clean and unanukia vizuri na unajipenda sana kila sekta...

Hahaha..m ati msambwanda.. Hata wewe umejaaliwa mbona... Napendaga kukuita Full Moon Ass...
 
kwa kifupi hakuna uhusiano Anaekupenda Atahakikisha Anatafuta njia za kusolve ttzo na kukusaidia siyo Kukuacha,Hakuna aliyekamilika sema haya mambo ya faragha huwa siri na huwa yanatafutiwa suluhu kimya kimya ila kwa kuwa wengi wanaingia ktk mahusiano wakiwa hawajakomaa Kiakili ndo mattzo ya kuanika mambo ya ndani hadharani
 
Mbona woooote aliopita nao hawakuwahi kusema hayo???

ndio shida ya kudate na vijitu visivyojielewa.
 
Jambo la msingi ni kumsaidia na siyo kumdharirisha kama kweli umempenda na umahitaji kuwa mama wa watoto wako baada ya kujiridhisha uzuri wa ndani alionao yaani uwezo wa kufikiri,kuamua na kutenda. Dawa zipo japo nyingi ni za asili. Kwa maana ya hospital atashauriwa aoge mara kwa mara na kumbe si kumaliza tatizo bali kulihairisha kwa muda
 
Ukweli ni kwamba lakunuka peke yake linaweza kuchangia demu kuachika.

Ule mzigo uku hali ya hewa iwe nzur sio yakuziba pua bbna.

Mm akinuka hata awe ananisalimia kils dakika anapita ivi.
 
Nafikiri inahitaji matibabu ,
 
BADALA YA KUMLAUMU EMBU MPENI NJIA SAHIHI ZA KUTIBU TATIZO LAKE... hakuna aliye mkamilifu
 
Alaf mim huwa nashindwa kuelewa kitu,mabint wengi wa uswahilini au wale wa kawaida (hali za chini na kati kiuchumi) huwa wapo clean sana tofauti na hawa masister du wa mjin na wanaojiona wa kishua, je tatizo ni nini?
( Sijawajaribu wote bali ni maoni mengi ambayo niliyapata kwa vijana mbalimbali ambao kwa vipindi tofauti wali date nao)
 
Makucha wanayobandika kama ndege Tai, ndio chanzo may be.
 

Hahahaahhahahaahahahahaha Nimekumbuka kitu! Ila asante sana Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…