Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
unaenda wapi tena we hauongei lolote[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaenda wapi tena we hauongei lolote[emoji125] [emoji125] [emoji125]
hapana ever baadhi waliongea akiwepo geemodel na chidmapenziMbona woooote aliopita nao hawakuwahi kusema hayo???
ndio shida ya kudate na vijitu visivyojielewa.
Alishatoka na Chidi mapenzi!!!?hapana ever baadhi waliongea akiwepo geemodel na chidmapenzi
unajua nahisi tatizo ni uchafu ujue wataalam wanasema kuingiza vidole huku chini wakati wa kusafisha haitakiwi nahisi labda yy yupo hivyo hajisafishiAlishatoka na Chidi mapenzi!!!?
Hiyo ilinipita aiseeee, kweli bongo movie wanajua kupasiana.
Tumsaidie dawa dada yetu asizidi kudhalilika.
Kwnn wanamtangaza badala ya kumsaidiaunaenda wapi tena we hauongei lolote
So Sad.unajua nahisi tatizo ni uchafu ujue wataalam wanasema kuingiza vidole huku chini wakati wa kusafisha haitakiwi nahisi labda yy yupo hivyo hajisafishi
Sana masikini Mungu amsaidie tu aponeSo Sad.
Mambo ya kutangazana vibaya niyakitoto sana! Lakin cjui! Ila mi binafsi cjapenda jaman kah! Huyo anaemtangaza mwenzie yy kajichunguza! ?Zote ulizonena ni point... Nakuunga mkono...
Ifahamike tu.. Watu wanapokuwa kwenye mapenzi, huafanya mambo mengi sana pamoja, yawe mazuri au mabaya... Tatizo linakuja pale mnapotengana kwa ubaya... Kila mmoja anapoamua kuji defend kwa namnya yake ili mwenzake ndiyo aonekane mbaya ndiyo sababu...
Hapo ndiyo mchezo mchafu huuanza wa kusingiziana mambo... Waswahili tunasema... Ukimwaga mboga namwaga ugali... Kitu ambacho siyo kizuri na Mungu hapendi...
Kama mmeachana iwe kwa wema au ubaya...mnakaushiana tu... Na siyo kuchafuana... Hakuna binadamu mkamilifu.. Kila mtu ana madhaifu yake...
Sitetei mtu... Ni maoni yangu tu...
Cc: mahondaw
Zote ulizonena ni point... Nakuunga mkono...

hata mm siikubali hii ya kutosafisha usiingize kidole ina madhara hapana kwakweliWengine wanakataza kuweka vidole ndani ya K kwamba K inajisafisha yenyewe kwamba kuna bacteria. Lakini kumbuka hata mdomo kuna bacteria ambao wanasafisha vinywa vyetu Kwanini tupige mswaki sasa.
Kama mtu anakata kuingiza kidole mbona Mb***oo inaingia. Haina effect Kuweka kidole ambacho hakina kucha refu taratibu inasaidia sana unazungusha taratibu kama mara tatu ukiwa unajimwagia maji hutaka usikie haruf kamwe. Ndomaana mi nashanga msichana mrembo kafuga kucha refu najiuliza anjisafisha je.
Wanaume fanyeni utafit mtuletee mrejesho kati yamwanamke anae fuga kucha na asie fuga tuone wapi watakua wengi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mimi yalinikuta hayo mambo....yule mtu alikuwa ananuka kama mzoga chumba kizima harufu nikasema kweli tembea uyaone. Nikamchemshia maji nikampa akaoshe
Loooh!We hujakutana na anae nuka ndo mana
Mwanamke akifuga kucha ndefu hawezi kujisafisha vizuri?Wengine wanakataza kuweka vidole ndani ya K kwamba K inajisafisha yenyewe kwamba kuna bacteria. Lakini kumbuka hata mdomo kuna bacteria ambao wanasafisha vinywa vyetu Kwanini tupige mswaki sasa.
Kama mtu anakata kuingiza kidole mbona Mb***oo inaingia. Haina effect Kuweka kidole ambacho hakina kucha refu taratibu inasaidia sana unazungusha taratibu kama mara tatu ukiwa unajimwagia maji hutaka usikie haruf kamwe. Ndomaana mi nashanga msichana mrembo kafuga kucha refu najiuliza anjisafisha je.
Wanaume fanyeni utafit mtuletee mrejesho kati yamwanamke anae fuga kucha na asie fuga tuone wapi watakua wengi.
Naweza nikaunga mkono hoja yako %70 kwa sababu mtu kabandika mikucha mikono yote miwili . atasafishaje papuchi na ile mikuchaaaa...Makucha wanayobandika kama ndege Tai, ndio chanzo may be.