Uhusiano kati ya mwanamke kunuka na kuachwa kimapenzi.

Mimi Paprika wangu, yakwake anaiunga na iriki na chachandu daaah..[emoji7] [emoji7] Kidume kama Zanzibari kumbe Bara tena Kolomije usukumani.
 
Alishatoka na Chidi mapenzi!!!?
Hiyo ilinipita aiseeee, kweli bongo movie wanajua kupasiana.

Tumsaidie dawa dada yetu asizidi kudhalilika.
unajua nahisi tatizo ni uchafu ujue wataalam wanasema kuingiza vidole huku chini wakati wa kusafisha haitakiwi nahisi labda yy yupo hivyo hajisafishi
 
Mambo ya kutangazana vibaya niyakitoto sana! Lakin cjui! Ila mi binafsi cjapenda jaman kah! Huyo anaemtangaza mwenzie yy kajichunguza! ?
 

unanifraishaga kila ukikoment lazima hiloo jina liwepo hapo chini.

nakufananishaga na jogoo akiona msosi anamuita mtetea krooo mtetea anagonga msosi akimaliza anapigwa dudu.

nimependa style yako.
 
Hapa issue nikwamba wanawake badhi wakienda chooni wanatumia tissue tu. Mfanano bila kutumia maji sasa ukienda mara 5 mpaka jioni changanya na joto na fluids zile ndo haruf itaanzia hapo. Chamsingi tusidanganyike na toilet paper au wipes.

Kuna rafiki yangu alishawahi kuniambia hivi nyie (akataja dini yangu), kwanini mnapenda kutumia maji mara kwa mara si mtakua wabaridi huko chini. Akaniambia hawezi kitumia maji huko labda wakati anaoga hata akienda ajakubwa yeye ni tissue, tulibishana sana hakunielewa ila Kwanzia pale hata kula kitu chake nakua nawasiwasi.
 
Wengine wanakataza kuweka vidole ndani ya K kwamba K inajisafisha yenyewe kwamba kuna bacteria. Lakini kumbuka hata mdomo kuna bacteria ambao wanasafisha vinywa vyetu Kwanini tupige mswaki sasa.

Kama mtu anakata kuingiza kidole mbona Mb***oo inaingia. Haina effect Kuweka kidole ambacho hakina kucha refu taratibu inasaidia sana unazungusha taratibu kama mara tatu ukiwa unajimwagia maji hutaka usikie haruf kamwe. Ndomaana mi nashanga msichana mrembo kafuga kucha refu najiuliza anjisafisha je.
Wanaume fanyeni utafit mtuletee mrejesho kati yamwanamke anae fuga kucha na asie fuga tuone wapi watakua wengi.
 
hata mm siikubali hii ya kutosafisha usiingize kidole ina madhara hapana kwakweli
 
Uyo mtoto ninavyomzimia si aje kwangu nimpige sop sop alafu nijilie vyombo mimi.Mtoto mzur ivyo nimwache kisa harufu mi hapana aise.ntakula ivyo ivyo ata kwakuziba pua.
 
Mwanamke akifuga kucha ndefu hawezi kujisafisha vizuri?
 
Makucha wanayobandika kama ndege Tai, ndio chanzo may be.
Naweza nikaunga mkono hoja yako %70 kwa sababu mtu kabandika mikucha mikono yote miwili . atasafishaje papuchi na ile mikuchaaaa...
Hata Huyo mrembo wanae sema ameaxhwa shauri ya kunuka papuchi unawezekana ni kweli coz ukimuangalia mikono yke kabandika mikucha mirefuuu kweli hua najiulizaga huwa wanakulaje ugali????! Au wanakula na kijiko...


But wollper na mkubali sana ktk ma actress wa bongo muvi ninao wapenda kwenye moyo wangu nakupenda sana wolper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…