Uhusiano kati ya Tanzania na Kenya kulikoni?

NUKUU (Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea, narudia tena Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea kwenye nchi hii. Tundu Lissu
Ni kweli haijawahi kutokea kupata rais Kama yy.serikali kuhamia Dom ilishindikana lakin yy ameweza,mradi wa umeme wa mwal jk hydropower uligoma lkn yy ameweza,na mengine mengi ...
 
acha uchonganiahi ww,tungekuwa hatuna mahusiano mazuri Basi hata Yale madini yaliyoyakamata,wange piga kimya,na tusingejua chochote.ktk east Africa Kenya ndo nchi ya kwanza kuenzi mahusiano mazuri na Tanzania.
Ustaarabu wa Uhuru tuu. Viongozi waliolelewa Ikulu waastarabu -Uhuru,Karume ,Hussein.
 
Ni kweli haijawahi kutokea kupata rais Kama yy.serikali kuhamia Dom ilishindikana lakin yy ameweza,mradi wa umeme wa mwal jk hydropower uligoma lkn yy ameweza,na mengine mengi ...
Haya yasiwe chanzo cha mengine kuharibika .

JAMANI [emoji102][emoji3517]
 
Huyu naye ni nabii kama Hayati Mwl J. K. Nyerere
 
Hali mbaya huku kwetu debe mahindi elfutano mchele ishirini na nne kwa debe cha ajabu mbolea iko vilevile haipandi wala kushuka
 
Kama mahindi toka Mexico na mchele toka vietnam ni nafuu kuliko wa Tanzania, ni kwanini wanunue Tanzania? Halafu nikwambie tu, hiyo video uliyoweka inadhalilisha kiti kikuu..., hiyo ni kejeli ya waziwazi kwa aliye madarakani, itoe.
 
Tumuachie Mungu huyu jamaa unaweza jikuta unatukana bila kupenda
 
Tuambie kwanza nani alianza kuchoma na kuwateketeza vifaranga mpakani pale Namanga??
Nani aliyekamata na kutaifisha mifugo ya majirani zake??
Hao vifaranga walichomwa kinyume na sheria za nchi au sheria ndivyo ilivyotaka? Hao ng’ombe walikamatwa bila kuvunja sheria za nchi? Tubadili sheria kama ndio hivyo ili iruhusu mifugo kuingizwa kiholela bila ukaguzi wa aina yeyote ile.
 
acha uchonganiahi ww,tungekuwa hatuna mahusiano mazuri Basi hata Yale madini yaliyoyakamata,wange piga kimya,na tusingejua chochote.ktk east Africa Kenya ndo nchi ya kwanza kuenzi mahusiano mazuri na Tanzania.
Usiangalie madini tazama kwa ujumla NCH inavyo enda kwenye wenye kipato Cha chini
 
Wafanya biashara wakubwa wanalia na kodi wenye viwanda usiseme wakulima nao vilio Eeemungu tukimbilie wapi
 
Wakulima ndio wanaoumia kabisa Kwa kuwazuia kuuza mazao ya nje ya nchi hii ni maumivu ya wakulima wa mahindi, mpunga n.k.
Mkuu mahindi na mpunga afadhali kuliko matunda na nyanya zinaozea shambani
 
acha uchonganiahi ww,tungekuwa hatuna mahusiano mazuri Basi hata Yale madini yaliyoyakamata,wange piga kimya,na tusingejua chochote.ktk east Africa Kenya ndo nchi ya kwanza kuenzi mahusiano mazuri na Tanzania.
Mkuu sio uchonganishi....
Sisi Wakulima tunaona hali halisi
Wewe upo mjini Huna dhilla ulijualo kwetu
Matunda na nyanya kuozea shambani sio masikhara wala ajizi
 
Kwa hiyo wazee wa kazi mmeshapata kiongozi mjinga na mpumbavu ?
 
Ni kweli haijawahi kutokea kupata rais Kama yy.serikali kuhamia Dom ilishindikana lakin yy ameweza,mradi wa umeme wa mwal jk hydropower uligoma lkn yy ameweza,na mengine mengi ...
Sisi kama Wakulima tunampongeza sana japo kua angebaki Dar es salaam na mazao yetu yangekua yanauzika kwetu ingekua poa tu
Sasa yupo Dodoma na mazao yetu yanatudodea Hivi utamwambia mkulima atakuelewa?
Eti kuna bwawa la umeme wakati Mananasi yanaozea shambani
Eti Kanunua ndege wakati asali haina mnunuzi
Hivi kuhamia Dodoma Ndio nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…