Uhusiano kati ya Tanzania na Kenya kulikoni?

Uhusiano kati ya Tanzania na Kenya kulikoni?

Haya yasiwe chanzo cha mengine kuharibika .

JAMANI [emoji102][emoji3517]
Kwani serikali kua Dodoma inanisaidia nini mimi mkulima ambae manamasi yangu yanaozea shambani?
Kwani angekua dar na soko la mazao kuwepo tungekosa nini?
Dodoma,, Dodoma
Tumechoka na Dodoma yenu
 
Mwaka Jana solo LA kitunguu lilikua mono sana. Hadi 250,000/= kwagunia. Ila sasa unaambiwa gunia la kitunguu elfu arobain. Uongozi wa Magufuli ni kivuruge. Kwani wakenya ndio walikua wanunuzi wakuu
 
Mwaka Jana solo LA kitunguu lilikua mono sana. Hadi 250,000/= kwagunia. Ila sasa unaambiwa gunia la kitunguu elfu arobain. Uongozi wa Magufuli ni kivuruge. Kwani wakenya ndio walikua wanunuzi wakuu
Haya mambo ya mahusiano ni mambo ya kidiplomasia...
Jiwe ukimwambia diplomasia wala haelewi ni nini....
Shida sana...
Anyways sio Mitano tena ni milele kabisa
Uchumi wa kati
Nchi hii ni tajiri sana
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu...
Unaijua vieite wewe...!!!!!
Sisi tunatembelea mavieitee
 
Sina uhakika na unachosema
Lakini mkulima ambae amelima manabasi hekta 20 Leo yanaozea shambani halafu unaleta story za vifaranga Sidhani kama atakuelewa
Mimi nadhani hapa pana ukweli kwa mkulima atakayelewa. Wao wameleta biashara zao huku, ukazizuia. Mayai ukayaharibu, vifaranga ukavichoma moto. Kwa kulipiza kimyakimya na wao wakaacha kununua baadhi ya bidhaa.
 
Kumbe Tanzania ilichoma moto vifaranga vya Kenya baada ya Lissu kupata hifadhi kule na kutibiwa...
Jiwe ni janga la TAIFA
 
Kumbe Tanzania ilichoma moto vifaranga vya Kenya baada ya Lissu kupata hifadhi kule na kutibiwa...
Jiwe ni janga la TAIFA
Leo hii taarifa zinazogonga vyombo vya habari ni kwamba Kenya imezuia kuingiza mahindi toka Uganda na Tanzania. Kisa yana chanzo cha kansa kwa wananchi wake.
 
Kila mtu ana hofu na hatima ya maisha yake.

Kwa yote haya, nadhani late mzee Mkapa angekuwepo mpaka leo hii asingeweza kunyamaza, tumebakiziwa wasiyo na meno, wote ni vibogoyo.
 
Kwa Hali ya kawaida Vietnam na Mexico ni mbali sana isipokua Wafanyabiashara wa Kenya wanasema ni afadhali kuliko kununua Tanzania maana kuna kodi na vibali vingi vineongezwa ili kuwakomoa Wakenya maana waliliwa na nzige
Kwa kawaida biashara lazima iangalie ufanisi na faida. Kwa hali ilivyo yaonekana kununua mahindi Tanzania ni ngumu kuliko kutoka Mexico. Hii itakuwa mbaya sana kwa Tanzania kwakuwa ishamkosa mteja Kenya sidhani kama itapata mteja mkubwa tena wa aina yake. Tz ilijisahau sana ikaamini kuwa mteja huyu hana kwakwenda. Sasa mteja kapata chino jingine ambalo garama zao za uzalishaji ni ndogo na na bei ni ndogo. Sasa Tz nayo nitafutie chino jingine la kuuza, ingawa najua ulaya hayawezi kwenda.
Hii nchi bwana, nakumbuka hata Dangote walisema ni rahisi na inaufanisi mkubwa kununua makaa ya mawe toka nje ya nchi kuliko kutoka Ludewa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hebu jiulize unanunua bidhaa kutoka mexico na Viet Nam kukwepa kodi na vibali vya nchi jirani ambavyo ni vya kawaida kwaajili ya protectionism halafu unasema upo vizuri kichwani!!?
 
Back
Top Bottom