Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
- Thread starter
-
- #41
Kwani serikali kua Dodoma inanisaidia nini mimi mkulima ambae manamasi yangu yanaozea shambani?Haya yasiwe chanzo cha mengine kuharibika .
JAMANI [emoji102][emoji3517]
Haya mambo ya mahusiano ni mambo ya kidiplomasia...Mwaka Jana solo LA kitunguu lilikua mono sana. Hadi 250,000/= kwagunia. Ila sasa unaambiwa gunia la kitunguu elfu arobain. Uongozi wa Magufuli ni kivuruge. Kwani wakenya ndio walikua wanunuzi wakuu
Mimi nadhani hapa pana ukweli kwa mkulima atakayelewa. Wao wameleta biashara zao huku, ukazizuia. Mayai ukayaharibu, vifaranga ukavichoma moto. Kwa kulipiza kimyakimya na wao wakaacha kununua baadhi ya bidhaa.Sina uhakika na unachosema
Lakini mkulima ambae amelima manabasi hekta 20 Leo yanaozea shambani halafu unaleta story za vifaranga Sidhani kama atakuelewa
Kumbe Tanzania ilichoma moto vifaranga vya Kenya baada ya Lissu kupata hifadhi kule na kutibiwa...Mimi nadhani hapa pana ukweli kwa mkulima atakayelewa. Wao wameleta biashara zao huku, ukazizuia. Mayai ukayaharibu, vifaranga ukavichoma moto. Kwa kulipiza kimyakimya na wao wakaacha kununua baadhi ya bidhaa.
Leo hii taarifa zinazogonga vyombo vya habari ni kwamba Kenya imezuia kuingiza mahindi toka Uganda na Tanzania. Kisa yana chanzo cha kansa kwa wananchi wake.Kumbe Tanzania ilichoma moto vifaranga vya Kenya baada ya Lissu kupata hifadhi kule na kutibiwa...
Jiwe ni janga la TAIFA
Kwa kawaida biashara lazima iangalie ufanisi na faida. Kwa hali ilivyo yaonekana kununua mahindi Tanzania ni ngumu kuliko kutoka Mexico. Hii itakuwa mbaya sana kwa Tanzania kwakuwa ishamkosa mteja Kenya sidhani kama itapata mteja mkubwa tena wa aina yake. Tz ilijisahau sana ikaamini kuwa mteja huyu hana kwakwenda. Sasa mteja kapata chino jingine ambalo garama zao za uzalishaji ni ndogo na na bei ni ndogo. Sasa Tz nayo nitafutie chino jingine la kuuza, ingawa najua ulaya hayawezi kwenda.Kwa Hali ya kawaida Vietnam na Mexico ni mbali sana isipokua Wafanyabiashara wa Kenya wanasema ni afadhali kuliko kununua Tanzania maana kuna kodi na vibali vingi vineongezwa ili kuwakomoa Wakenya maana waliliwa na nzige