Uhusiano kati ya Uislamu na kufuga ndevu nyingi

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Salam kwenu wakuu, kwa wale wenzetu waislam naona sikukuu yenu iko safi kabisa huku familia zikiendelea kujumuika vyema na maakuli ya hapa na pale.

Kuna hivi vitu vitatu kuhusu waislam (hasa wanaume):-

1. Kufuga ndevu nyingi

2. Kuvaa makobazi au sandals au open shoes (zilizo-over size)

3. Kuvaa kanzu

Nini uhusiano wa dini ya kiislam na hivyo vitu vitatu hapo juu?

Ukiwa muislam ni lazima ufuge ndevu kama Osama Bin Laden?

Ukiwa muisalm ni lazima kuvaa sandals au open shoes au makobazi muda wote?
 
Alie igiza picha ya Yesu nae muislam...?
 
Kufuga ndevu au kutokufuga ndevu kuna mahusiano yeyote na mwanadamu kuingia pepoponi? Ukiendekeza mambo ya wanadamu utakuja ambiwa ndevu zenye chawa ndio haswa zinaswihi.
[HASHTAG]#Idd[/HASHTAG] Mubaraka!


Na washawasha!
 
kuna mambo yanahitaje moyo sana....just imagine .
Hivi mtu kama huyu anakula vipi..?
anapigaje mswaki...?
anakulaje denda kwa mfano...?
ana pigaje mwayo (yawning) ..?
ana nawaje mdomo kwa mfano..?

View attachment 530349
Mkuu si kila king'aacho ni dhahabu

Niliposema kuwa ni Sunnah usingeniletea mfano wa wahuni kama hao kuniquote, ambao wao wana tamaduni zao au mila zao hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…