Mung Chris JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 3,391 Reaction score 3,849 Oct 10, 2023 #1 Wana jamvi naomba msaada wa kujua kama kuna uhusiano wowote kati ya watu wembamba, wafupi na uchoyo au roho ya kwanini, ni kama watu hawa huesabika kuwa wachoyo na roho ya kwanini je ni kweli, tupate experience zenu.
Wana jamvi naomba msaada wa kujua kama kuna uhusiano wowote kati ya watu wembamba, wafupi na uchoyo au roho ya kwanini, ni kama watu hawa huesabika kuwa wachoyo na roho ya kwanini je ni kweli, tupate experience zenu.
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,084 Reaction score 15,998 Oct 10, 2023 #2 Awe jinsia "ke" sasa..! Akifikisha 30yrs anakuwa mchawi kabisa
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 7,841 Reaction score 17,491 Oct 10, 2023 #3 Ni imani tu za watu, kuna kibonge tupo nae mtaani hapa kwa uchoyo hafai hata kidogo.
Gentleman 446 Senior Member Joined Mar 26, 2021 Posts 112 Reaction score 407 Oct 10, 2023 #4 [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Superfly JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 985 Reaction score 2,066 Oct 10, 2023 #5 Nenda Gym mkuu upunguze uzito, au kama ni mfupi sana jitahidi uwe unalala mapema ili ukue... Acha kuwaandama watu wafupi na wembamba.!!!!
Nenda Gym mkuu upunguze uzito, au kama ni mfupi sana jitahidi uwe unalala mapema ili ukue... Acha kuwaandama watu wafupi na wembamba.!!!!
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Oct 10, 2023 #6 Sijui lkn nichukue fursa hii kuwapa maua yao mabonge wawe me au ke wanakuaga na roho nzuri sana........hasa wa kike
Sijui lkn nichukue fursa hii kuwapa maua yao mabonge wawe me au ke wanakuaga na roho nzuri sana........hasa wa kike
Mung Chris JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 3,391 Reaction score 3,849 Oct 10, 2023 Thread starter #7 Zulu man said: Awe jinsia "ke" sasa..! Akifikisha 30yrs anakuwa mchawi kabisa Click to expand... 😂😂