Mimi kwa uzoefu wangu hyo inawezekana kwa msichana kumpenda mvulana bila kumuona kupitia mazungumzo tu basi akakupenda na mnakuja kuonana akiwa tayari ameshafanya maamuzi kulingana na jinsi ulivyokuwa unaongea,kujari kwako,kufanya maamuzi na vitu kama hivyo,lakini kwa mwanaume kabla ya kumuona atamuongopea hadi amuone akivutiwa naye ndy anafanya maamuzi vinginevyo anapotezea na hili huwatokea kwa sababu wanaume wanaongozwa sana na mvuto wa mwanamke,tofauti na wanawake kwa uhandsome siyo issue ila wanahitaji a real man hivyo akishajiridhisha ww ni real man hata kama hajakuona atakupenda.