Jerry de Marco
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 213
- 41
- Thread starter
- #41
Aisee kumbe shughul bado ipo,maana kumkabidh mtu moyo wako na hujamuona mmmmmh!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kwa uzoefu wangu hyo inawezekana kwa msichana kumpenda mvulana bila kumuona kupitia mazungumzo tu basi akakupenda na mnakuja kuonana akiwa tayari ameshafanya maamuzi kulingana na jinsi ulivyokuwa unaongea,kujari kwako,kufanya maamuzi na vitu kama hivyo,lakini kwa mwanaume kabla ya kumuona atamuongopea hadi amuone akivutiwa naye ndy anafanya maamuzi vinginevyo anapotezea na hili huwatokea kwa sababu wanaume wanaongozwa sana na mvuto wa mwanamke,tofauti na wanawake kwa uhandsome siyo issue ila wanahitaji a real man hivyo akishajiridhisha ww ni real man hata kama hajakuona atakupenda.
wat do u mean mkuu!.......I second this...
wat do u mean mkuu!...
Nimekusoma mkuu!...kwamba nakuunga mkono ndugu...