Jerry de Marco
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 213
- 41
Ni sanaa tu hapo kwa kwenda mbele, upendo wa kweli hudhihirika wakishaonana na kujuana tabia na mienendo! otherwise huwa ni kamchezo tu!
Bila mu wazima wa afya wana MMU,nin hutokea had unakuta mtu ana uhusiano wa kimapenz na mtu ambaye hajawah kumuona na wanapendana sana kama vile walishaonana na je hapo kuna mapenz ya dhat na pia hudumu?
Hii inategemea sana ila inawezekana sana mkapenda zaidi baada ya kuonana au mkachukiana baada ya kuonana'mimi nimewahi kupenda kwenye mitandao na mpaka leo niko nae huyo mpenzi sasa tuna miaka 3 na bado tunapenda sana tu yeye ni muwazi sana kama mimi
hongera xana kwa hilo
mmmh, sijui
kuna viumbe wanajua kujilipua jamani...loh
Mimi kwa uzoefu wangu hyo inawezekana kwa msichana kumpenda mvulana bila kumuona kupitia mazungumzo tu basi akakupenda na mnakuja kuonana akiwa tayari ameshafanya maamuzi kulingana na jinsi ulivyokuwa unaongea,kujari kwako,kufanya maamuzi na vitu kama hivyo,lakini kwa mwanaume kabla ya kumuona atamuongopea hadi amuone akivutiwa naye ndy anafanya maamuzi vinginevyo anapotezea na hili huwatokea kwa sababu wanaume wanaongozwa sana na mvuto wa mwanamke,tofauti na wanawake kwa uhandsome siyo issue ila wanahitaji a real man hivyo akishajiridhisha ww ni real man hata kama hajakuona atakupenda.
Hujui? Mbona uliniunganishia kwa patina wako? Hahahahaha