Nyakwec's Bro
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 820
- 174
peleleza hii kwenye mazingira haya wanaume ndiyo huwa wanataka wamuone msichana kwanza kisha amsaminishe akiona halipi anamdanganya na simu anazima lakini wasichana huwa wako willing kuonana bila kujifichaficha.Ninawashikaji zangu wawili wameshafanya hivyo baada ya kukubaliana demu kaja ubungo hapo mshikaji akamdanganya demu ili tu yeye awe wa kwanza kumfahamu baada ya kuona kimeo huyo akazima na simu nduki!....Mbona ikitokea wakaonana na kukuta cvyo kama kila mmoja alivyotarajia hukimbiana
peleleza hii kwenye mazingira haya wanaume ndiyo huwa wanataka wamuone msichana kwanza kisha amsaminishe akiona halipi anamdanganya na simu anazima lakini wasichana huwa wako willing kuonana bila kujifichaficha.Ninawashikaji zangu wawili wameshafanya hivyo baada ya kukubaliana demu kaja ubungo hapo mshikaji akamdanganya demu ili tu yeye awe wa kwanza kumfahamu baada ya kuona kimeo huyo akazima na simu nduki!....
Bila mu wazima wa afya wana MMU,nin hutokea had unakuta mtu ana uhusiano wa kimapenz na mtu ambaye hajawah kumuona na wanapendana sana kama vile walishaonana na je hapo kuna mapenz ya dhat na pia hudumu?
Kwa hiyo mkuu wangu unamaanisha lile jukwaa pale juu watu wanadanganyana tu!!!
...Yawezekana kabisa kukawa na mapenzi ya dhati na yakadumu kwa kipindi kirefu.
kweli BAK, hakuna mahali pameandikwa kuwa mpenzi utakaedumu nae ni yule utakaekutana nae kanisani tu. Watu wanakutana kwa njia tofauti tofauti.
waendelee kufahamiana na watu hata kabla hawajaonana lakini tunatofautina yaani mvulana ataridhika tu hadi atakapomuona amuweke wazi kwamba uhusiano watu utathibitishwa tukionana ili binti asijipe matumaini na mkionana siyo umkoshe kwanza ndy umfate au umkimbie,onana naye kama hauwezi kufanya nae uhusiano wa kimapenzi mwambie mtabaki kuwa marafiki tu wazuri kabisa!...kwa hilo unawashaurije wanaume
Mi kuna kabinti fulani tuliwahi kuwasiliana wakati hatujuani, wakati huo niko pale Mlimani mwaka wa pili 2007, kenyewe kalikuwa kanasoma A-Level huko Dodoma. Tulipofanikiwa kukutana nilikula kona ya hatari manake ilikuwa ni tofauti na mategemeo yangu. Alafu huwa wanalegeza sauti unweza kudhani ni wazuri ile mbaya.
Nakumbuka ishu kama hii the same year the same place,mshkaji alikuwa anasoma Bcom isijekuwa ndo wewe!