Uhusiano na tofauti kati ya 'Shushushu' na Afisa wa Usalama wa Taifa.Wanatambuanaje wakiwa kazini?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Salam.

Kwanza naomba niipongeze serikali yetu yenye amani tele toka enzi ya Mwl Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, Mzee Kikwete na sasa jembe letu lingine Dkt John Joseph Pombe Magufuli kwa namna ambavyo wamekuwa wakiweka safu sawa ya kikosi cha mpira.

"Shushushu , Afisa Usalama wa Taifa" ni maneno ambayo nimeanza kuyasikia nikiwa elimu ya sekondari Mzumbe mwaka 1998 kidato cha 2.Na n watu ambao kwakweli wanaisaidia sana nchi yetu kwenye mambo ya kiusalama (intelligence).Ila nimekuwa nashindwa kuelewa tofauti ya hawa muhimu katika Taifa letu.

1. Shushushu ni nani, anafanya kazi wapi na kwa namna gani?

2. Usalama wa Taifa ni nani, majukumu yake ni yepi (specifically)?

3. Wawili hawa wanafanya kazi kwa kushirikiana au kila mtu ana bosi wake?

4. Wakikutana wawili hawa (either kwenye shughuli au mtaani), wanatambuanaje?

Naombeni ufahamu wakuu.

Asante.
 
Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?



pitia huu uzi utapata mwanga
 
Naongeza na hili, je ni lazima kwa afisa wa TISS kuwa na mafunzo wa kijeshi?
 
Reactions: SDG
Wenzetu kazi yao kubwa ni research and development sisi kufanya watu wasiikosoe serikal
 
Reactions: SDG
Umeuliza swali vibaya, kama lengo lilikuwa kujua tofauti kati ya,

Mpelelezi wa makosa ya jinai/uhalifua(CID).na

Afisa mtumishi usalama wa taifa.
 
Reactions: SDG
Usalama wa taifa wanateka watu na kuwatesa, shushushu wanapeleleza na kupeleka Taarifa polisi halafu mhalifu anakamatwa, ogopa sana hao tiss maana wanatoa kucha za watu na kutoboa macho

Aiseee, unampotosha Mdogo wako huyo angalia kidato cha pili mwaka 1998
 
Mashushushu ni wakuu wote wa mikoa tanzania, kwa Lugha ya kichaga ndo tunaita mashushushu. Na usalama wa taifa ni wanafunzi woote wa UDSM kwa kinyiramba ndo wanaitwa usalama wa Taifa. Au tiss

Haaa haaa Haaa haaa Haaa haaa Haaa haaa.
Aiseeeeh, Nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…