Uhusiano uliopo kati ya kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe na tukio la jambazi

huyo alikuwa Raia Mwema tu. Magaidi wako mahakamani kesi inaendelea.
Taja mtu mmoja tu alieuawa na hao Magaidi wa mahakamani,mimi nitakutajia gaidi halisi alieua askari polisi watatu wenye silaha mchana kweupe na kati kati ya jiji.

Ukishindwa kutaja basi ujue akili hauna au iko makalioni
 
Mkuu mimi nimeongea tu Na hapo nataka kuujulisha umma wa serikali uache kuita watu magaidi. Magaidi wenyewe ndio hao sasa.
 
Pole sana...
Ok ni jambazi kaiba nini?
Au ni mwizi kaiba nini?
Mgonjwa wa akili? Mbona akuua raia kaua polisi tu?
Muwe na akili ata kidogo tu au mmelogwa?

Tumia lugha ya staha...

Ukiitwa mbele ya vyombo vya sheria unaweza kuthibitisha madai yako?
 
Kwani wewe unasemaje.
Mimi nasema Polisi wamekosa weledi kwa kushindwa ku kumthibiti yule mtu pasipo kipoteza uhai wake. Hakuwa na cover yoyote ya kushindwa kudhibiti. Sababu hawajui/hatujui alikuwa na masahibu gani!!! Angehojiwa tungejua ni mgonjwa, maisha yamemshinda, anamadeni, ametumwa n.k.
 
Pengine wamekosa ujasiri huo kwakuwa mahusiano yao na jamii mara nyingi yamekuwa yakikosa weledi ,busara na hata mahusiano mema.Hivyo hata kushindwa kukadiria kwa weledi adui hasa ni nani.
 
kumuita jambazi umelenga nini ? maana jambazi ni mtu anayefanya uporaji wa mali au pesa , ukiacha zile bunduki alizozitumia kaiba kipi ?
 
Pengine wamekosa ujasiri huo kwakuwa mahusiano yao na jamii mara nyingi yamekuwa yakikosa weledi ,busara na hata mahusiano mema.Hivyo hata kushindwa kukadiria kwa weledi adui hasa ni nani.
Hivyo tusijifanye tuna uhakika wa msomali huyu alikuwa na akili timamu kama alivyoainishwa na uzi huu.
 
Nahisi hii ni pre-emptive strike, vyombo vya ulinzi na usalama vikae chonjo huenda kuna shambulio kubwa zaidi linapikwa.
 
Tuna magadi wa 3 hado saivi
Mbowe
Sabaya na huyu wa leo
 
Umeongea point ya msingi Sana, ukitaka kupata Kichekesho, subiri kesho report.
 
Mbowe aachiwe mara moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…