Uhusiano unao nichanganya kati ya mafua na kuziba kwa masikio

Nyaubikra

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
1,339
Reaction score
3,319
Wakuu poleni na swaumu (kwaresima na mfungo wa ramadhani).

Tangu nikiwa mdogo napata hiyo shida ya kuziba kwa masikio pindi ninapo fanya usafi wa kutoa bugudha ya mafua.

Kwa anaye jua huu uhusiano kwamba unapo penga hizi mucus za pua tufanyeje ili masikio yasilete tabu mana hapa sikio moja limeziba toka jana.

Msaada wakuu hata dawa za asili na ushauri pia.
 
Wakuu poleni na swaumu( kwaresima na mfungo wa ramadhani)

Nenda hospitali kitengo cha ENT kwa ushauri na uchunguzi zaidi
 
Usipenge kwa nguvu.
Kama ni mazito spray fluticasone puani then yatachuruzika yenyewe.

Kuzibua hilo sikio ziba pua halafu meza mate huku pua umeibana, rudia rudia zoezi pia tafuna big g.
 
Wakuu poleni na swaumu( kwaresima na mfungo wa ramadhani)

Tangu nikiwa mdogo napata hiyo shida ya kuziba kwa masikio pindi ninapo fanya usafi wa kutoa bugudha ya mafua.

Kwa anaye jua huu uhusiano kwamba unapo penga hizi mucus za pua tufanyeje ili masikio yasilete tabu mana hapa sikio moja limeziba toka jana.

Msaada wakuu hata dawa za asili na ushauri pia.
Penga pua moja moja
 
Anatomically kuna uhusiano kati ya pua, masikio na koo. Masikio yana muunganiko na koo kupitia mrija mdogo wa eustachian tube unaofika mpaka kwenye nasopharynx. Kutokea hapo kwenye nasopharynx ni rahisi kufika ndani ya pua and vice versa.

So excessive secretions kwenye pua ni rahisi kufika kwenye masikio au kushuka chini ya koo.
images (2).jpeg
 
Back
Top Bottom