Nenda hospitali kitengo cha ENT kwa ushauri na uchunguzi zaidiWakuu poleni na swaumu( kwaresima na mfungo wa ramadhani)
Tangu nikiwa mdogo napata hiyo shida ya kuziba kwa masikio pindi ninapo fanya usafi wa kutoa bugudha ya mafua.
Kwa anaye jua huu uhusiano kwamba unapo penga hizi mucus za pua tufanyeje ili masikio yasilete tabu mana hapa sikio moja limeziba toka jana.
Msaada wakuu hata dawa za asili na ushauri pia.
Penga pua moja mojaWakuu poleni na swaumu( kwaresima na mfungo wa ramadhani)