well mara nyingi yule ambaye amebwagwa ndio anakuwa ana hasara. nasema hivyo kwa sababu kwanza kabisa lazima atakuwa amewekeza katika huo uhusiano emotionaly na pia ata financially. pia atakuwa amejenga matarajio fulani ambayo sasa ghafla hayatatimia. yule anaye bwaga pia alikuwa ameweka hivyo ila yeye amefikia point ambapo anaona freedom yake ina thamani zaidi kuliko vitu ambavyo amewekeza katika muda wote huo aliokuwa katika huo uhusiano.
Pengine uko sahihi kabisa lakini kwa fikira zangu ni kuwa mwanamme ana upeo mkubwa wa kujiliwaza kwa kupata mbadala pale anapobwagwa kuliko mwanamke, jee na hili vipi?
Wanawake wengi ni wazuri na hakuna shida sana ya kupata aina ya mwanamke wa kureplace aliyeamuwa kuondoka!!
chumia necha baanawe acha tu
well mara nyingi yule ambaye amebwagwa ndio anakuwa ana hasara. nasema hivyo kwa sababu kwanza kabisa lazima atakuwa amewekeza katika huo uhusiano emotionaly na pia ata financially. pia atakuwa amejenga matarajio fulani ambayo sasa ghafla hayatatimia. yule anaye bwaga pia alikuwa ameweka hivyo ila yeye amefikia point ambapo anaona freedom yake ina thamani zaidi kuliko vitu ambavyo amewekeza katika muda wote huo aliokuwa katika huo uhusiano.
Wanaume wengi wana pesa hivyo sio kazi kumpata mwenye nazo zaidi ya aliyenibwaga!
Anayepata hasara ni yule aliyeachwa..kwa sababu bado alikua ana mategemeo fulani kwenye uhusiano huo![/QUOT
Na suwala la kuonja chengine jee, si utaunda mategemeo mengine mapya?
mwenye shares nyng.
Wote wanaasara,sababu kama walikua wakiishi pamoja mazowea,mambo waliokua wakifanya pamoja kama kuna watoto
ndio itawaumiza zaidi,pesa mali yote matokeo unaweza ukaachana na mume nyote mnapesa lakini zisiwasaidie kituchochote
kwenye maamuzi.....
Muathirika ni yule aliyependwa na kwa ujinga wake hakuthamini penzi lile; kwani kila atakapoenda atajuta na kukumbuka penzi la kweli alilolichezea.
Yule mwenye mapenzi ya kweli ataumia mwanzoni na baadaye ataheal, na akipata mwingine anayeweza appreciate pendo lake he/she will move on!