Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salaam wanajamvi. Kama kawaida yangu nikitingwa na jambo nakimbilia Great Thinkers!
Nimekuwa nikisoma malalamiko mengi humu jamvini kuhusu kuvunjika kwa mahusiano baina ya wapenzi au wanandowa. Nami nimekuwa nikijiuliza hivyo mwanamme analalamika nini iwapo mwanamke kwa hiari yake anaamuwa kuvunja uhusiano? Pengine mtizamo wangu sio sahihi hivyo naomba mawanzo ya jamvi kuhusu hili.Uhusiano unapovunjika nani hasa mwenye hasara zaidi?
chumia necha baana
Kupoza machungu na vurugu za nyumbaniSasa kwanini huwa tunatafuta mabwana au mabibi wa nje?