NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Umejitahidi sana, kwa kukuongezea tu kidogo alkali ni sumu kali sana kuliko acidSio dawa zote hazikubaliani na maziwa.
Dawa nyingi zina acid na maziwa yana base.
Acid+base=salt+water. Huko tumboni ukinywa dawa(acid) kisha ukanywa maziwa kinatokea chumvi na maji, kwa hiyo dawa inapotezwa kabisa.
Ndio maana mtu akinywa sumu(acid) tunampa maziwa au tunamkologea majivu tunamywesha ili kuiua hiyo acid(sumu).
NB: mimi sio mwanasayansi wa darasani ni mwanasayansi wa mtaani. Sayansi yangu ni ya vitendo zaidi....
Ila si wongo umejitahidi kueleza kisayansi.Ila nikuambie tu sio sumu zote ni asidi.Sumu zingine ni alkaloids mfano quinine,caffeine n.kSio dawa zote hazikubaliani na maziwa.
Dawa nyingi zina acid na maziwa yana base.
Acid+base=salt+water. Huko tumboni ukinywa dawa(acid) kisha ukanywa maziwa kinatokea chumvi na maji, kwa hiyo dawa inapotezwa kabisa.
Ndio maana mtu akinywa sumu(acid) tunampa maziwa au tunamkologea majivu tunamywesha ili kuiua hiyo acid(sumu).
NB: mimi sio mwanasayansi wa darasani ni mwanasayansi wa mtaani. Sayansi yangu ni ya vitendo zaidi....
Ahsante mkuu...ngoja wanasayansi waje tuwasikie na wao.Umejitahidi sana, kwa kukuongezea tu kidogo alkali ni sumu kali sana kuliko acid
Sawa mkuu, ngoja tuwasikie na wataalam wengine.Ila si wongo umejitahidi kueleza kisayansi.Ila nikuambie tu sio sumu zote ni asidi.Sumu zingine ni alkaloids mfano quinine,caffeine n.k
Umejitahidi but sio kweli kwa asilimia nyingi.Kwa njinsi mi ninavyojua ili dawa iweze kuingia mwilini lazima ikifika tumboni ifonzwe kwenda kwenye mfumo wa mzunguko wa damu,
Maziwa yanafonzwa haraka na mapema kuliko kitu kingine kutokana na nature yake(fat na protein)
Hivyo basi mtu akimeza dawa na kunywa maziwa,itachukua muda sana dawa kuingia mwilini,because maziwa yanapewa priority kwanza kuingia mwilini.
Pia chakula kina muda wake wa kukaa tumboni,so kisipofonzwa kwa huo muda hutolewa kama mabakia.
Ndio maana mtu akinywa sumu anapewa maziwa kwanza ili simu isienee mwilini hata kama ikiingia itakuwa kidogo baadae hupelekwa hospital ili kuitoa hiyo sumu kwa njia mbalimbali,
Umenipata?
Jumong umejibu deeply kitaalamu nahisi utakuwa mtaalamu wa fani hiiUmejitahidi but sio kweli kwa asilimia nyingi.
Kuna dawa nyingine ukinywa maziwa ndo umeziongezea kupiga kazi vzr zaidi, mf Alu. Hii unashauriwa unywe na maziwa ndo ifanye tiba vzr.
Absorption ya dawa inategemeana na formation yake, mf kuna topical drugs, mf tubes nyingi, kuna zinazofanya absorption kwenye airways mf aerosols kama Salbutamol, pia kuna zinazofanya absorption kupitia chini ya ulimi, kwenye anus like Anusol, nyingine kwenye uke mf pessaries. Zipo pia huwa absorbed kwenye njia ya chakula (sio tumboni tu) mf solid and semi solid drugs kama tablets, suspensions, syrups and capsules.
Sasa dawa hizi zipo za aina mbali mbali na mifumo ya utendaji mbali mbali. Maziwa huwa na kitu tunakiita "contraindication" na baadhi ya dawa, ndiyo maana maana utashauriwa usitumie maziwa wakati wa matumizi. Nyingins hazina shida kabisa.
Case hii ni same to pombe.
Pia si kila sumu utai-netralize na maziwa, nyingine ukiweka maziwa ndo inakuua vizuri na kirahisi (ni somo refu hili)
Ushauri: Kabla ya kutumia dawa muulize mfamasia ni kipi hakifai kunywa au kula na kitaharibu dawa.
Nimeamua kuiweka hii thread huku kwa faida ya wote maana huku panatembelewa na wengi.
Mara nyingi utasikia watu wanasema nimeahirisha kunywa dawa maana asubuhi nilikunywa maziwa.
Je, ni kweli ukinywa dawa na maziwa hazifanyi kazi?
Au ndio tuseme kuna aina ya dawa hazikubaliani na maziwa.Kama zipo ni zipi?
Naombeni wenye taaluma ya madawa watujuze