Uhusiano wa Kenya na Somaliland wazidi Kunoga.

Uhusiano wa Kenya na Somaliland wazidi Kunoga.

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219

Jamhuri hii imefanikiwa kuwaweka Al shababu mbali na Mipaka yake

Wakati Utawala wa Somalia ya Kusini una kiu ya Damu na Uchafuzi wa Mazingira Taifa hili limeweza Kuwaweka Maharamia Mbali na Mipaka yake.
Somaliland Democratic Republic
 
Wakiwacharaza tena msije mkaanza kulialia na kutoa vilaana visivyoeleweka
 
53320088_2067875596659616_6707853040692494336_n.jpg

Raisi Musse Bixi Abdu wa Somaliland Democratic Republic akiwasili UAE katika Ziara ya kikazi. Naona hawa jamaa wanajali sana Maendeleleo na Biashara.
 
Wakenya Changamkieni Fursa Bila wasiwasi Sekta Nyingi hazina Wataalamu wa kutosha
Uwekezaji Njenje Wabongo huwa tunatabia ya Kusitasita.

Hata Ethiopia yenyewe kwa Sasa fursa ni kibao wanaondoa Ule Mfumo wa Monopoly

Ethiopia ina Kampuni Moja tu ya Simu ambayo inamilikiwa na Serikali sasa Waziri Mkuu Abiy Ahmed anataka kuifungua Nchi iwe na Mfumo wa Soko Huria.
 
Ktk ilo kwa kweli pongezi kwa UK kwa kitendo kupanua kambi yake pale kenya hakika al shabaab wameogopa ....
 
Back
Top Bottom