luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Katika wakati usiotabirika urafiki wa kidiplomasia kati ya Kenya na Somalia umevunjika baada ya Kenya kumvurusha balozi wa Somalia nchi Kenya na kumuamuru balozi wa Kenya nchini Somalia kurudi nyumbani.
Chanzo kikubwa cha kuvunjika kwa uhusiano baina ya nchi hizi mbili ni mgogoro eneo la bahari Mashiriki Kaskazini mwa Kenya mpakani na Somalia (Kusini mwa Somalia) eneo hilo ambalo Somalia wanadai ni la kwao na Kenya kudai pia ni la kwao.
Hakika kwa kitendo hicho ni wazi wataalamu wa mambo wanasema huenda eneo hilo lina rasilimali nyeti ya mafuta
Lakini kwanini Kenya wamekuwa wepesi kufunja uhusiano kati na Somalia ilihali wanafahamu ya kuwa Al Shaabab ni maadui zao wakubwa na Somalia ndio makazi yao hawaoni kama kitendo hicho kitachochea vitendo vya mashumbulizi toka kwa magaidi ?
Wakenya pigeni kelele Serikali yenu iwe calm na pro active ktk ku resolve huo mgogoro kwa njia ya kidiplomasia mfano Tanzania iliingia ktk mgogoro wa mipaka na Malawi awamu ya bibi Joyce Banda lkn Tanzania hawakufukuza balozi zaidi zaidi iliongeza kasi ya mazungumzo baina ya viongozi wa nchi hizi mbili later walivyoona hawana maelewano wakatafuta mediator alikuwa Rais wa Mozambique thereafter things started to move smoothly