KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,518
Si kwa kutumia vita au mitutu ya bunduki bali kwa kutumia sheria za kimataifa za baharini. Nafikiri unafahamu matatizo yetu pale tunapofika mahakamaniHahahahaah watakua hawajipendi kutaka mazaga ya tz ...kwanza wanaogopa
Sent using Jamii Forums mobile app