Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Kenya na Somalia umevunjika rasmi

Sema wasonja wangekuwa na ubinadamu wangewaachia tu hilo eneo kwa kenya coz wao wana eneo kubwa sana la bahari.
 
Watatoa support kimya kimya

Ila bahati nzuri uhuru ni diplomatic genius wataelewana tu
hahaha china waoga wale wa vitaa hawezi scramble ya kuingia msituni kumwaga jeshi ktk heavy battle kwa ajili ya resource ...

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Nyinyi hata omba omba wenu hamuwezi wasaidia, sisi ndio tunawalisha kila siku. Mtawezaje kutulisha?
Ni hii Kenya ilokumbwa na njaa na kuagiza mahindi na kushindwa kujitosheleza sasa inaweza kulisha wengine?
 
Watatoa support kimya kimya

Ila bahati nzuri uhuru ni diplomatic genius wataelewana tu

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Sure Uhuru ni bonge la kiongozi kwa kenya ni diplomatic person nazani atafanikiwa kuwaaunganisha wa KE ....iv Kenya yule aliyekuwa mgombea urais last election amabae alikuwa wanasema ni handsome somebody keneth sijui.....iv kapotelea chaka gani ?
 
Haha! 😀 Anaitwa P.K., Peter Kenneth a.k.a Swaga balaa. [emoji1] Jamaa yupo Jubilee sasa hivi, if you can't beat them, join them. Nilimuaminia sana huyu jamaa kwa kampeni za kuwavutia vijana na ile kauli yake kwa lugha ya sheng, Tunawesmek.
 
Ramani ipo wazi ukinyoosha mstari wa mpaka Somalia wapo sahihi.

povu ruksa
 
Ramani ipo wazi ukinyoosha mstari wa mpaka Somalia wapo sahihi.

povu ruksa

Una chuki zako binafsi wewe. Mbona mpaka wa Kenya na Tanzania baharini haujanyoosha kama wanavodai Somalia? Hii mipaka imekuwa hivi tangu jadi na ndio muonekano wa mipaka ya nchi zote kutoka Somalia kushuka chini hadi S.A.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…