ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Mchina kushusha ushuru ni mbinu maana anajua Africa ina export raw materials tu. China inaongoza kuhujumu viwanda vya Africa ili apate soko la kuuza fake products zake.China ndio taifa pekee ambalo limedrop tariffs kwa bidhaa za Afrika hadi kufikia 0%
Hii inaziwezesha nchi za Afrika ku-export bidhaa zao China easily.
Nitajie nchi ya West ambayo imewahi kufanya hiki alichofanya China