Hakuna uhusiano wa kiu na maji ya baridi. Nadhani unajiskia ahueni haraka baada ya kunywa ya baridi kutokana na uwezo wake wa kupooza mwili. Kikubwa hapa ni mazoea tu. Mwili una tabia ya kuadopt kwa kile unachofanya. Umeuzoesha mwili maji ya baridi ndo maana ya vuguvugu huoni effect.Habari wakuu. Naomba kujuzwa kwanini maji ya barid ni rahisi kukata kiu kulilko yakiwa ya uvuguvugu.
maana tuliambiwaga kiu husababishwa na solute ambazo ukinywa maji zinaeyuka na ndipo kiu huisha.
sasa je maji yakiwa ya moto hayawezi kuyeyusha hiyo solute kwa urahisi na kwann kama jibu ndio..
ahsanten
kwahiyo unaweza kuzoea maji ya moto na ukanywa kidogo kiu ikaisha?Hakuna uhusiano wa kiu na maji ya baridi. Nadhani unajiskia ahueni haraka baada ya kunywa ya baridi kutokana na uwezo wake wa kupooza mwili. Kikubwa hapa ni mazoea tu. Mwili una tabia ya kuadopt kwa kile unachofanya. Umeuzoesha mwili maji ya baridi ndo maana ya vuguvugu huoni effect.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawasawaNdiyo. Wachina hawana tabia ya kunywa maji ya baridi kabisa. Hata water dispenser zao zina sehemua maji ya moto na sehemu ya maji yenye joto la kawaida. Binafsi pia huwa situmii maji ya baridi na sihitaji maji mengi kukata kiu
Sent using Jamii Forums mobile app