Kichaka12
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 300
- 263
Habari wakuu. Naomba kujuzwa kwanini maji ya barid ni rahisi kukata kiu kulilko yakiwa ya uvuguvugu.
maana tuliambiwaga kiu husababishwa na solute ambazo ukinywa maji zinaeyuka na ndipo kiu huisha.
sasa je maji yakiwa ya moto hayawezi kuyeyusha hiyo solute kwa urahisi na kwann kama jibu ndio..
ahsanten