Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,358
- 4,263
usimfananishe Jay Z na vitu vya ajabu ajabu, shame on you.MTOA POST BANA MSANII KAMA DIAMOND ANAHITAJI KIKI ILI IWEKE??!!!NI SAWA NA KUSEMA LEO JAY Z ATAFUTE KIKI WAKATI JINA TU LINAJIUZA.ACHA WIVU WA KITANZANIA...
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Umri wangu Na hii post haviendani kwa kweli wacha nipite
MTOA POST BANA MSANII KAMA DIAMOND ANAHITAJI KIKI ILI IWEKE??!!!NI SAWA NA KUSEMA LEO JAY Z ATAFUTE KIKI WAKATI JINA TU LINAJIUZA.ACHA WIVU WA KITANZANIA...
Nani kasema sasa jaribu kuelewa kabla ya kujibu...mi nazingumzia kuwa branded kwa eneo husika,hapo ni states na tz kwa wasanii tofauti.Muwe mnaelewa kwanzaSawa sawa!kwa hiyo diamond ni sawa na Jay Z si eti....???
Acha kujikanyaga wewe. The issue is, don't compare Jay ZNani kasema sasa jaribu kuelewa kabla ya kujibu...mi nazingumzia kuwa branded kwa eneo husika,hapo ni states na tz kwa wasanii tofauti.Muwe mnaelewa kwanza
Daimond haitaji kiki hata kidogo maana maisha yake kila siku ni kiki, huyu ndio msanii ambaye anaandikwa na kusemwa zaidi kwa siku Tanzania. Hata kama wewe team nyingine lazima utamzungumzia tu mond tofauti na msanii unayempenda wewe anaweza kata week 2 mpaka mwezi kimya.Naomba tujadili uhusiano Wa hivi vitu viwili, Diamond kutumia kiki mfu ili arudi kwenye chati na Na kufuria kwake ambako kunapelekea ajaribu kila vituko ili tu azidi kuandikwa au kesemwa ingawa bado hali ni tete!
Nawasilisha!
Hahahahawenzake kina davido ,tecno wapo bampa to bampa wanatoa vyombo vya hatare daily yeye yupo busy na mke wa mtu.
Kwa hiyo Kwa makusudi kabisa umeamua kuwaweka kundi moja Jay z na Dimond?MTOA POST BANA MSANII KAMA DIAMOND ANAHITAJI KIKI ILI IWEKE??!!!NI SAWA NA KUSEMA LEO JAY Z ATAFUTE KIKI WAKATI JINA TU LINAJIUZA.ACHA WIVU WA KITANZANIA...
Hajafulia ndiyo maana hata wewe umefikiria kumuanzishia thread leoNaomba tujadili uhusiano Wa hivi vitu viwili, Diamond kutumia kiki mfu ili arudi kwenye chati na Na kufulia kwake ambako kunapelekea ajaribu kila vituko ili tu azidi kuandikwa au kesemwa ingawa bado hali ni tete!
Nawasilisha!