Uhusiano Wa Kufulia na kiki mfu za Diamond

Uhusiano Wa Kufulia na kiki mfu za Diamond

MTOA POST BANA MSANII KAMA DIAMOND ANAHITAJI KIKI ILI IWEKE??!!!NI SAWA NA KUSEMA LEO JAY Z ATAFUTE KIKI WAKATI JINA TU LINAJIUZA.ACHA WIVU WA KITANZANIA...

Sawa sawa!kwa hiyo diamond ni sawa na Jay Z si eti....???
 
Sawa sawa!kwa hiyo diamond ni sawa na Jay Z si eti....???
Nani kasema sasa jaribu kuelewa kabla ya kujibu...mi nazingumzia kuwa branded kwa eneo husika,hapo ni states na tz kwa wasanii tofauti.Muwe mnaelewa kwanza
 
Nani kasema sasa jaribu kuelewa kabla ya kujibu...mi nazingumzia kuwa branded kwa eneo husika,hapo ni states na tz kwa wasanii tofauti.Muwe mnaelewa kwanza
Acha kujikanyaga wewe. The issue is, don't compare Jay Z
 
Naomba tujadili uhusiano Wa hivi vitu viwili, Diamond kutumia kiki mfu ili arudi kwenye chati na Na kufuria kwake ambako kunapelekea ajaribu kila vituko ili tu azidi kuandikwa au kesemwa ingawa bado hali ni tete!

Nawasilisha!
Daimond haitaji kiki hata kidogo maana maisha yake kila siku ni kiki, huyu ndio msanii ambaye anaandikwa na kusemwa zaidi kwa siku Tanzania. Hata kama wewe team nyingine lazima utamzungumzia tu mond tofauti na msanii unayempenda wewe anaweza kata week 2 mpaka mwezi kimya.
 
MTOA POST BANA MSANII KAMA DIAMOND ANAHITAJI KIKI ILI IWEKE??!!!NI SAWA NA KUSEMA LEO JAY Z ATAFUTE KIKI WAKATI JINA TU LINAJIUZA.ACHA WIVU WA KITANZANIA...
Kwa hiyo Kwa makusudi kabisa umeamua kuwaweka kundi moja Jay z na Dimond?
 
Naomba tujadili uhusiano Wa hivi vitu viwili, Diamond kutumia kiki mfu ili arudi kwenye chati na Na kufulia kwake ambako kunapelekea ajaribu kila vituko ili tu azidi kuandikwa au kesemwa ingawa bado hali ni tete!

Nawasilisha!
Hajafulia ndiyo maana hata wewe umefikiria kumuanzishia thread leo
 
Ana UTU kabisa...mtu aliyediriki kufanya show, akijua fika mzazi mwenzie kafikwa na Msiba, tena ndani ya Mwezi Mtukufu...anaelekea kwenye laana kamili huyo.

Nilikuwa shabiki wake, kwa sasa sitosikiliza nyimbo zake tena..
 
Back
Top Bottom