Uhusiano wa Magonjwa na Kuongezeka kwa Idadi ya Watu!

Uhusiano wa Magonjwa na Kuongezeka kwa Idadi ya Watu!

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
338
Reaction score
180
IDADI ya watu duniani inakadiriwa kuwa bilioni 7, kutoka bilioni 2.5 mnamo mwaka 1950. Ukuaji wa haraka wa idadi ya watu umeathiri usambaaji wa magonjwa kwa njia zifuatazo:

1. Msongamano na ukuaji wa mji. Magonjwa ya kuambukiza kama kipindupindu husambaa haraka zaidi kwa watu wanaoishi kwa kukaribiana sana. Hadi sasa angalau 50% ya watu duniani kote wanaishi maeneo ya mijini, ambapo idadi kubwa ya watu wanaishi sehemu zilizosongamana kitu kinachosababisha idadi kubwa ya watu kukutana na kurahisisha kuenea kwa magonjwa ya kuambukiza.

Kipindupindu ni ugonjwa wa kuhara unasababishwa na kumeza chakula au maji machafu yenye bakteria aina ya Vibrio cholerae. Watafiti wanakadiria kuwa kila mwaka kuna matukio takriban...

Soma=> Uhusiano wa Magonjwa na Kuongezeka kwa Idadi ya Watu! | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom